Kipindi Hichi Cha Usajili Huwa Ni Cha Moto Sana Na Kama Mchezaji Hautakuwa Makini Basi Unaweza Kufanya Maamuzi Ambayo Unaweza Kuyajutia Baadae
Staki Kusema Kwamba Anatakiwa Kuikataa Ofa Ya TRA No Ila Anatakiwa Kufanya Maamuzi Sahihi Sana, Kuna Muda Mpira Hauitaji Hela Kazi Kwake
Nabi Baada Ya Kufeli Kuipata Saini Ya Dube Sasa Amehamishia Nguvu Kwa Kijana Wake Clement Mzize Ili Kwenda Kuongeza Nguvu Kwenye Kikosi Chake Cha Raja,
Raja Hawataki Kumwongezea Mkataba Sakho Na Wanamwona Mzize Kama Mchezaji Sahihi Wa Kwenda Kuchukuwa Nafasi Hiyo.
Kwani Ndugu Zangu Yanga & Simba Hii Mali Hamuioni Au Ndo Tuseme Hela Ndo Tatizo, Kufunga Goli 20 Na Kutoa Assist Tatu Kwenye Michezo 23 Sio Kitu Rahisi Hiyo Inakupa Picha Ni Monster 👺 Haswa Na Anatakiwa Kucheza Kwenye Timu Kubwa.
Naambiwa Tayari MC Alger Wameshaonyesha Nia.
hakuna klabu yoyote Hapa Tanzania ambayo inaweza kumtoa Job ndani ya Yanga kwa sasa, huku akieleza kuwa taarifa zinazozunguka mitandaoni zinalenga kuleta taharuki na kuwavuruga mashabiki pamoja na uongozi wa klabu hiyo
kwa utani, Hersi alisema:
"Akiondoka Job, mimi naacha kazi.
It’s Over kati ya Singida na Aucho❌
Singida wanaachana na kiungo wa Uganda Khalid Aucho, Maisha Yake Singida Yamekuwa Magumu Sana, Wanaona Bora Wampunguze.
Pia Singida wana mpango wa kuachana na nyota kadhaa kwenye kikosi chao👇
Morice Chukwu❌
Horso Mwaku❌
Idriss Diomande❌
Klabu ya MC Alger ya Algeria🇩🇿 Inataka Kuharibu Mahesabu Ya Yanga Pale Singida, Naambiwa MC Alger imetuma ofa $200,000 (tsh 525 milion) kwenda Singida ili Kuipata Saini Ya Mossi Nduwumwe (22).
Singida bado hawajajibu ofa hiyo ila MC Alger wanamtaka Haswa Top Scorer wa NBC.
WACHEZAJI 5 WA WAKIGENI AMBAO UNAWEZA KUENDELEA KUWAONA YANGA SC MSIMU UJAO 🏟️🔥
Hizi ndio silaha 5 za moto za wananchi Yanga SC ambazo Unaweza Kuendelea kuziona uwanjani msimu ujao ⚔️🙌
Zinahitajika sana msimu ujao 🙌🔥
Allan Okello ✅, Duke Abuye, Yao, Depu, Maxi Nzengeli
BAADA ya Kuufanyia tathmini ya kina mradi Mpya wa Yanga, aliyekuwa kocha wa Raja, Fadlu Davids ameridhia kujiunga na Yanga Kama Kocha Wao Mkuu Kwa Msimu Ujao
Makubaliano hayo ni kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine kulingana na mafanikio ya timu hiyo.
Mimi Nitakuwa Wa Mwisho Kuamini Kuwa Rais Wa Yanga Alikuwa Hajui Dube Anaelekea Wapi, Yanga Walikuwa Wanajua Mchezaji Wao Anaelekea Wapi.
Mbili Kwa Aina Ya Timu Ambayo Dube Amejiunga Nayo Kwa Asilimia Kubwa Yeye Ndo Ameomba Aende Bure, Sidhani Kama Ile Timu Inaweza Kutoa Pesa.
Kiukweli Nilijua Dube Anaondoka Toka Mwezi Wa Tatu Ila Sikutarajia Kama Ataondoka Bure Kama Alivyoondoka And Sijui Kwa Nini Ameamua Kuikacha Ofa Ya Yanga Na Kaizer Ambazo Zilikuwa Kubwa Sana Na Kuamua Kurudi Kwao
Hii Ni Moja Ya Kete Ambayo Hakuna Mtu Alikuwa Anaijua Zaidi Ya Wao
Mshambuliaji wa zamani wa Young Africans SC Prince Dube(29) amejiunga na klabu ya Hardrock Fc ya nchini Zimbabwe baada ya kumaliza mkataba na WANANCHI
Sema Hii Imekuwa Haraka Sana Tofauti Na Ilivyotarajiwa.
It's Official Done and Confirmed ✅
Yanga Wamegoma Kukata Tamaa Kwenye Harakati Za Kuipigania Saini Ya Bwana Mdogo Girumugisha Wako Tayari Kutoa Kiasi Chochote Ili Kuipata Huduma Ya Mchezaji Huyo.
Wanajua Kuwa Ofa Dollar 700k Ya Pyramid Imekataliwa, Wanajua Kuwa Dollar 500k Ya Ittihad Imepigwa Chini But Bado Wapo
Sema Bongo Bana Tume Kuwa Tukipenda Sana Kujiamua Mambo, Hivi Mnapata Wapi Nguvu Za Kusema Mfungaji Bora Hakustahili Kupata Tuzo Hiyo, Hizi Nguvu Tunatoa Wapi, Huo Ushahidi Wa Kuthibitisha Hiyo Kauli Mnayo Au Kwa Sababu Wale Sio Simba, Mbona Wakati Wa Simba Hamkusema Haya.
Klabu Ya JKT Imefanikiwa Kumwongezea mkataba kocha wao Mkuu Ahmad Ally kwa miaka miwili.
Moja Ya Karata Nzuri Sana Kwa JKT Ila Natamani Wamfanyie Maboresho Kwenye Kikosi Chake, Ahmad Ni Kocha Mzuri Sana Ila Anatakiwa Kuongezewa Quality Player
✅ It's all Done & Sealed 🔒 🪖 🥷
JKT Wanakwambia Kama Unamtaka Mshambuliaji Wao Paul Peter Njoo Na Dollar 500 [ Billion 1.3 ] Hapo Ndo Wanaweza Kuanza Kufikiria Kufanya Maongezi Na Wewe Bila Hivyo Hakuna Biashara.
TRA Wanamtaka Sasa Sijui Kama Wataweza Kufika Hiyo Bei.
Kwangu Mimi Ukimtoa Job, Nasri Ndo Anafuatia Kwa Ubora Kwa Mabeki Wa Kizawa, Nasri Ni Moja Ya Mabeki Waliokamilika Kwenye Kila Kitu,
Ana Utulivu Mkubwa Sana Anapokuwa Pale Nyuma, Nadhani Yanga Watakuwa Wamepata Mchezaji Bora Sana Wa Kizawa, Sijui Nani Atampisha Pale Yanga Sc.
HIVI NDO VITU VILIVYOMUUMIZA SANA MAXI MSIMU HUU.
1. Kupoteza Mechi Dhidi Ya Dodoma, Daah Lile Tukio Lilituumiza Sana Kama Wachezaji
2. Mechi Mbili Tulizotoa Sare Na Simba
3. Na Leo [ Jana ] Kuona Pacome Akiumia Vibaya.
Mmemwelewa Maxi Lakini, Kwenye Point Ya Pili Hapo.
" Bingwa wa Ligi Kuu msimu huu amepatikana kwa kupendelewa na kila mtu anajua na Waandishi mnaelewa.. hakuna fair competition na makosa ya kibinadamu yalikuwa ya kutosha kwa marefa waliochezesha mechi za Bingwa (Yanga) ".
- Mwenyekiti wa Simba baada ya mchezo.
Huyu Ndo Mchezaji Pekee Anaeweza Kuziba Pengo La Pacome Pale Yanga Ni Huyu Tu.
Yanga Uwezo Wanao Na Pesa Wanazo Ni Wao Kuamua Wanataka Kusajili Wachezaji Wa Aina Gani, Walichokipita Msimu Huu Wamekiona Kazi Kwao Kwenye Kufanya Maamuzi.
AMEANDIKA ALLY KAMWE
Uongozi wa YANGA SC haujafanya mazungumzo Yoyote wala hauna mpango wa kumuajiri Kocha Fadlu Davis ..
Ni vile tu watu wanapitia kipindi kigumu kupata Breaking News za YANGA ndio maana wanaanzisha jambo la kulimaliza wenyewe juu kwa juu