Leo inazinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa.
Hii maana yake ni kuwa Uchumi wetu (GDP) inapaswa kukua mara 13. Inawezekana, lakini katika Taifa lililo na mshikamano, lisilo na ubaguzi na lenye demokrasia. Msingi wa hayo ni HAKI.
Kazi kubwa inapaswa kufanywa kwa NIDHAMU ya hali ya juu sana kufikia shabaha hiyo. Taifa lenye jamii ya uchawa uchawa haiwezi kuwa na nidhamu ya kufikia malengo tajwa.
THREAD
Ee Mungu,nipe nguvu,maarifa na uvumilivu wa kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu.
Nibariki kazi ya mikono yangu.
Fungua milango ya fursa njema,riziki halali na mafanikio ya kweli.
Ondoa uzito,hasara na taabu katika juhudi zangu,riziki yangu iwe baraka kwangu na kwa wengine🙏🏼
Karibuni kwenye #ElimikaWikiendi Spaces kuanzia muda hadi hapo saa 5:00 Asubuhi.
Mada kuu: Michongo na Fursa kwa Vijana.
Shiriki nasi: https://t.co/pRRPWkOLDq
New UK Immigration Changes Coming:
1. Only jobs that need a university degree will qualify for a work visa.
2.The minimum salary needed for a work visa will go up.
3. Low-skill jobs will almost never get visas, unless there’s a big shortage—and even then, companies must show they’re training UK workers.
4. A new expert group will check which industries rely too much on foreign workers and push them to hire and train locals.
5. Companies must show a plan to fix staff shortages—like better pay, apprenticeships, or UK training—if they want to sponsor visas.
6. Student and family visa rules will also change. The government says the focus is on control, contribution, and community.
Full details will be shared tomorrow by the Home Secretary!
Mengi yatasemwa ila ukweli utabaki kuwa binti yuko humble sana tena ni mara chache kumkuta mtoto wa Mkuu wa nchi mwenye hulka kama yake. Binadamu tunasukumwa na hisia za Chuki kiasi kwamba tunaona jambo la Jesca kuwa mtoto wa Rais ni Kosa, licha ya kwamba yeye hakupanga iwe hivyo
Finally, Tanzania’s Ministry of Agriculture has finished constructing a TZS 8.5 billion maize processing and storage facility in Kongwa, Dodoma.
The National Food Reserve Agency (NFRA) has now taken operational control, enhancing Tanzania’s grain handling and food security.
Tarehe 3 May 2025 kuanzia saa 3 asubuhi Ubalozi umeandaa Mkutano wa Elimu (1st UK-Tanzania Education Conference) utakaofanyika katika hoteli ya London Marriott Grosvenor Square . Mkutano huo utatoa fursa kwa washiriki kupata taarifa ya fursa za Scholarships za elimu ya juu nchini Uingereza. Vilevile katika mkutano huo, wanafunzi wanaosoma katika vyuo vikuu hapa Uingereza watapata maarifa ya kutafuta ajira nchini Uingereza kwa kutumia Graduate Visa Program. Watakaopenda kushiriki wanatakiwa kujisajili kupitia link:
https://t.co/TAxCtmHYuf
Pongezi nyingi kwa vijana Shule ya Sekondari Nguvu Mpya, wameonyesha uelewa mkubwa kuhusu umuhimu wa lishe bora katika maisha yao ya kila siku.
Kupitia mijadala na mafunzo shuleni kwao, wamejifunza jinsi ya kufanya uchaguzi sahihi wa chakula kwa afya bora na maendeleo ya elimu.