🦅ACHANA NA BATTERY HEALTH kwenye iphone
Leo nakusanua namna nyingine ya kuangalia kama iphone yako imetumika kwa muda gani ama haijatumika kabisa 😅 kupitia Cycle counts sio battery 🪫 health hii unakuta kabisa iko 100% lakini simu imetumika miaka na haikai na charge