Hii ni Video Mjongeo iliyorekodiwa miaka kadhaa iliyopita ikimuonesha Waziri mteule wa Mambo ya ndani Mhe Patrobas Katambi akikemea suala la Polisi kunyanyasa na kukamata watu kwa kisingizio cha MAAGIZO KUTOKA JUU, wakati huo Waziri Katambi alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) kwa sasa yeye ndio Waziri wa Mambo ya ndani, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu video hii na kumtaka Waziri Katambi akasimamie haya aliyoyakemea wakati huo kwakuwa mpaka sasa bado yanaendelea kufanyika.
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri ๐ฃ๏ธ๐ฅ
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
โ๏ธ Usihudhurie show zao.
โ๏ธ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna โstarโ anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: โSichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.โ
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu ๐๐Hakuna tena โniaje niajeโ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu ๐๐๐๐ One Love manโค๏ธโค๏ธ