@prossoff Sometimes Mungu anakupitisha kwenye kusudi, ili maisha yako mbele yawe mazuri na kuadithia kwa wengine but all in all yule mama she was great person kwa kweli😊
@prossoff Ukifatilia watoto wengi waliozaliwa 2000 na kuendelea, wengi wao unakuta wanalelewa na single parent bro 💔 especially unakuta dingi ndo jau…and this is prohibited from a true man who looks like a father kumbe playboya