I have witnessed this club go from doubters to believers, and from believers to champions. It took hard work and I always did everything I could to help the club get there. Nothing makes me prouder than that.
Us crumbling to yet another defeat this season was very painful and not what our fans deserve. I want to see Liverpool go back to being the heavy metal attacking team that opponents fear and back to being a team that wins trophies. That is the football I know how to play and that is the identity that needs to be recovered and kept for good. It cannot be negotiable and everyone that joins this club should adapt to it.
Winning some games here and there is not what Liverpool should be about. All teams win games.
Liverpool will always be a club that means a great deal to me and to my family. I want to see it succeed for long after I have moved on.
As I’ve always said, qualifying to next season’s Champions League is the bare minimum and I will do everything I can to make that happen.
Ahsante kwa kunitazamisja mambo katika upande huo.
Lakini ebu tuangazie upande mchungu sana labda ili tupate mkataa.
Kwamba pamoja na ugumu wa mnyororo wa Sheria,Sera na mbinyo kutoka Roma, Washington na kwengineko; havitoshi kutumia hiyo kama Uhalali wa hoja ya Afrika kuwa hoehae kiuchumi na kijamii.
1-Hoja ni kwamba Waafrika wenyewe ni watu waliogoma kusimama kuona Afrika kwa ukubwa.
-Wizi wa mali za umma na ubinafsi wa watumishi wa umma ni sababu ya msingi ambayo “wakosoaji wa mataifa ya magharibi” hamtaki kuikubali kuwa chanzo kikubwa cha mkwamo wa uchumi na kijamii kwa Bara lote.
2-Miaka 60 imekuwa siyo ya uhuru bali ya harufu mbaya ya kutokuwajibika kuboresha maisha ya nchi na wananchi isipokuwa kuboresha mionekano ya “Image ya siasa” na wanasiasa wake na badala “impact” ya siasa na wananchi wote katika nchi.Siasa iwe na ustawi kwa wananchi na siyo ustawi kwa wanasiasa. Hiyo ndg Kenny huioni kuwa ni shida kubwa.
3-Minyororo haiondoki kwa kuivunja kama huna nyenzo za kuvunja hasa ukiwa ni mtumwa uliyechoka na njaa na kiu; bali inafunguka kwa kutafuta “weak-link” yake ama kupata ufunguo wa kufuri. Na hivyo simaanishi kukubali unyonge bali utambuzi wa hali halisi.
3-Urusi siyo kwamba ilikuwa ni dhaifu!! Urusi ni taifa giant, kuanguka kwa Usoviet haiondolei Urusi uwezo wake katika anga za Uchumi na ushawishi wa kisiasa katika vitabu vya historia, Urusi ilikuwa ni Giant aliyeanguka na akaamka akapata balance na kujua kwamba hali imebadilika, hiyo ni tofauti na nchi kama Tanzania ama Kenye au mataifa mengi ya Afrika ambayo uhai wake wa Historia kama nchi haivuki karne, that’s History!
4-Tunaposema hatuna nguvu au nguvu tulizonazo hazitoshei kuingia katika ring ya defiance na walio na nguvu hatusemi kwa sababu ya uoga au kutokujiamini bali tunasema kwa ujasiri wa utambuzi wa hali halisi.
5-Mabepari pamoja na uchafu wao juu ya wengine lakini bado hawakushauri
-Kuiba mali za umma
-Kutowapa wananchi wako elimu ya bora
-Kutofanya miradi yenye kutoa ajira kwa watu wako.
-Kuvunja misingi ya haki na uzaleno kwa watu wako.
Utaniambia ndg Kenny, ni kosa la Mabepari kwamba toka enzi za mjerumani/wakoloni Nchi za EAC (kwa mfano) hazijawahi kujenga miundombinu mipya ya reli ili kurahisha muingiliano baina yao ili kukuza uchumi?
Afrika haina upekee katika historia ya Ukoloni, na siyo Bara pekee liliopata kukoloniwa katika historia, lakini inaweza kuwa bara pekee ambalo watu wake katika tabaka la siasa na uongozi waligeuka kuwa wakoloni juu ya wenzao na baadae kutupa kuamua muaminisha watu kwamba aduo yao ni mataifa ya nje!.
We should demand justice ,freedom and integrity from ourselves before playing “the pointing finger games” to the external powers.
Mataifa ya Nje yanafunga mikataba na nani ili kuiba mali za Afrika?
Nitasema nahau moja kutoka kabila langu kwa kiswahili.
“Hata uvute ngozi ya govi bado haikufanyi kuwa mtu aliyetahiriwa hadi pale utakapoikata/tairi hiyo ngozi”
Paka hawezi kuwa Simba kwa kutunisha mgongo na kutoa vikucha nje.
Reform bad habits and bad spending and address nepotism, face the hard truth with a concrete Vision, find better allies without acting defiant to those you just can’t afford to loose.