@MariaSTsehai@SuluhuSamia Huu ni uzushi na uongo waliohama wote walipatiwa fidia na hakuna aliyelazimishwa kuhama kila mmoja alihama kwa hiari yake na kupisha hifadhi ya Ngorongoro. Lakini waliobakia wote bado wanapata huduma stahiki kutoka katika serikali yao. Watanzania tuache kuzusha uongo na uchochezi
You'll lose a lot of money chasing women but you don't lose a woman chasing money. Be wise young man & focus on your grind but most importantly involve God!
If you want to be successfully:
Find a good team, Everything start with handful loyal, Honorable people with the same vision. With them you will go on the top. #BeHonorable๐ช๐พ
Mkutano wa Pili wa Majadiliano ya Kisekta (MPPD) Kati ya Wadau na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (MINISTERIAL PUBLIC PRIVATE DIALOGUE - MPPD)
Mgeni Rasmi wa Mkutano: Mhe. Dkt. Angelina Mabula (Mb) - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Mhe. Rais @SuluhuSamia akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Bw. Filippo Grandi na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Februari, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia amezungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya Uapisho wa Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na skauti Mkuu.
#KaziIendelee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akiwa kwenye mazungumzo na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.
#KaziIendelee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. @WilliamsRuto , uliowasilishwa na Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Moses Kuria, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
#KileleChaMaadhimishoYaSikuYaSheriaNchini
"Miundombinu kama majengo ni jambo moja, na nafasi ni jambo lingine, majaji sasa wamejielekeza katika utendaji wa haki, wanajituma kutenda haki na wanatoa haki jinsi sheria na nafsi zinavyowatuma" @SuluhuSamia