Eliya alimuinua Elisha, Eli akamuinua Samweli. Modecai alimuinua Esther. Mungu akubariki na kukukutanisha na watu ambao watakuwa msaada kwenye maisha yako. ๐ #Amen
Jambo moja kuhusu Mungu, Anaweza kukubariki mbele ya watu waliokuwa hawakuamini, wanakudharau na kukuona si lolote si chochote sio kwa ajili ya kuwaaibisha ila anawaonyesha namna nguvu alizonazo kwako na yupo na wewe wakati wote.
1 Chronicles 17:20
There is no one like you,ย Lord, and there is no God but you,ย as we have heard with our own ears.
Swahili Version:
Ee BWANA, hakuna mwingine kama wewe, wala hakuna Mungu mwingine ila wewe, kwa kadiri tulivyosikia kwa masikio yetu