Huu sio utaratibu wa kawaida wa kutoa kadi hii inatafsiri kuwa Mwamuzi alikuwa amemkamia mchezaji badala yake angetoa kadi ya njano na kisha kumalizia nyekundu kwa mujibu wa rekodi zake,sijui mwamuzi kilimkera nini mpaka akashindwa kuzuia ghadhabu zake dhidi ya golikipa.
Wakoloni walikaa kwa zaidi ya miaka 75 Toka 1885-1961. Lakini kwa kipindi chote hicho walifanikiwa kujenga shule za msingi zipatazo 1000 na shule za sekondari zipatazo 30. Lakini tizama miaka 4 ya Rais @SuluhuSamia amefanikiwa kujenga jumla ya shule zipatazo 7000 Toka 21/25
Uwezo haujifichi, mtu kama anajua anajua tu. Bado Nkunku,,
Huwezi kujiita kocha wakati unashindwa kuaccomodate kipaji kama cha Santos, Felix, Nkunku ila unampa dk 90 Madueke kila mechi,, na unamugopa pama hata akiwa na bad game🚮
ENZO MARESCA NI TAPELI
BREAKING🚨
MC Alger🇩🇿 has sent third offer to Simba SC 🇹🇿.
THE final offer is worth $600,000 to complete the signing of Kibu Dennis 🇹🇿.
MC wants to complete the deal before 23'59 as the Algerian transfer window closed.