Tume itakayoteuliwa inapaswa iwe na mtazamo wa leo na maono ya kesho na kesho kutwa. Hii tume naiona ina mtazamo wa mwaka jana na maono ya leo. Hawa wana pensheni yao
Hawatawakumbuka wale wanaoishi bila ajira kwa ajili ya keshokutwa yao na ya vizazi vyao wahusishwe kikamilifu.
Mimi nadhani kama Kwenye Kikao kuna Zanzibar basi alitakiwa pia awepo Tanganyika.Huyu Tanzania hapo angebaki huku nyumbani amevamia Kikao cha wenzake I presume?