@assengajrr Wewe tu ndo huwajui Kuna mtu anaitwa JUMANNE KISHIMBA amuulize baba ako anamjua au nenda kahama ukitoka nenda kapripoint harafu ndo uje upost
#HABARI Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesimamisha chama kikubwa cha wanafunzi nchini humo kinachoitwa UGEB kwa miezi mitatu, huku kiongozi wa chama hicho Wilfried Bazo na wanafunzi wengine wakikamatwa mjini Ouagadougou. Serikali imekishtumu chama hicho kwa kutoa matamshi yanayochochea vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi.
Hatua hiyo imezua mjadala mkubwa kuhusu hali ya uhuru nchini Burkina Faso chini ya utawala wa kijeshi wa Captain Ibrahim Traoré. Katika miezi ya karibuni, serikali imeendelea kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya makundi ya kiraia, vyama na vyombo vya habari vinavyoonekana kuikosoa serikali. #EastAfricaTV
@Zephania_Ndaki Wana harakati wangekuwa wanalipwa sativa angekuwa anakimbizana na mikeka ya kubeti? Tatizo nyinyi machawa mkilipwa mnazani wote wanalipwa!
@HOMESTUDIO8@halimamdee@ChademaTZ2 Nyie ndo mnafanya siasa za chadema zidumae sababu watu wale wale hata kama wakihamahama,,,, muda umefika kuibua vipaji vingine na kutoa nafasi kwa watu wengine na hata hivyo wapo wakina rose maemba, Brenda rupia na siyo kukazana na Hawa wa covid 19
@rose_mayemba Yaani kwenye maisha usimuamini binadamu tegemeo lako liweke kwa Mungu,,,, huyu ESTHER BULAYA ndiyo huyu au Kuna mwingine wamemwacha bunda?