Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu.
Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha kabisa
Ukubwa nikujua nini cha kusema, ukiseme kwa namna gani, ukiseme wapi, ukiseme kwa nani.
Kama haujui cha kuzungumza kunyamaza ni hekima kuliko kuongea.
Hasara za kuzungumza ni kubwa kuliko kunyamaza.
Never shit where you eat, kibongo bongo mazingira ya kazi yame badilika mnoo.
Zamani ma dingi walijenga ujamaa, urafiki na hata kupeana michongo na elimu ya kazi.
siku hizi ni husda, chuki na umbea
Never shit where you eat, kibongo bongo mazingira ya kazi yame badilika mnoo.
Zamani ma dingi walijenga ujamaa, urafiki na hata kupeana michongo na elimu ya kazi.
siku hizi ni husda, chuki na umbea