I’m happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License.
Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes.
We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
@Positivenga1 So kizalendo kabisa kile kilio maarufu ndo solution yetu regardless ya itikadi, nilitaka tu arrive hapa maana the original post imezunguka sana. I know sio niche unapenda izungumzia ila inamgusa kila mmoja kwenye chochote anachojihusisha nacho 👏👏
@Positivenga1@anthony_nyello I support this 100% ila from the original post shida yangu ni kuwa tuna matatizo mengi basic ambayo sidhani kama yanahitaji exposure kuwa solved nahisi ni kuwa tuna watu wasio sahihi. Mfano Kujua kwamba tunahitaji mitaro kuzuia maji yasijae barabarani hili nalo tumeshindwa.
Tulianzisha @SwahiliesPay Geto, Sinza, Dar Es Salaam lakini leo huduma zetu kama @KuzaBusiness zinatumiwa na wafanyabiashara zaidi ya 10,000 huku tukiungwa mkono na wawekezaji kama @baobabnetwork@ennovateventure na mashirika kama @undptz .
Bado Hatujafika tunapotaka kufika lakini safari yetu imetufundisha kwamba ukubwa ni swala la muda tu.
Wakati tunazungumza na wafanyabiashara mbalimbali wanaotumia na wasiotumia @KuzaBusiness tuligundua hata wao hawakuanza kwa ukibwa lakini wamepiga hatua.
Ndiyo maana tumezindua rasmi safari ya Ukubwa ni swala la muda.
Tutarekodi hadithi za wafanyabiashara 100 Dar es Salaam na mwisho tutatoa ripoti maalumu ya kile tulichojifunza kuhusu ukuaji wa biashara ndogo.
Ungana nasi @KuzaBusiness kwenye safari hii.
Margot Robbie revealed the kiss with Brad Pitt in Babylon (2022) wasn’t in the script. She came up with it on the spot.
“I thought, ‘When else am I gonna get the chance to kiss Brad Pitt? I’m just going for it.’
‘Oh, so sue me.’”