@godbless_lema Huyo jamaa ni propaganda machine ya madikteta, hatutakaa tusahau mchango wake katika kuliteketeza taifa hili. Hata Hitler alikuwa na watu kama hao kipindi chake lakini alifeli na dalili ni zile zile tunaziona kama ilivyokuwa kipindi cha dikteta Hitler.
@MariaSTsehai Watuambie kwanza ilikuwaje askari kutoka Uganda wakapiga risasi ndugu zetu? Manusura wa risasi, are now confirming kuwa kulikuwa mercenaries kutoka nchi jirani.
@mangekimambi Fuck it is confirmed wagamda waliua ndugu zetu. I met a survival, alipigwa risasi kichwani na begani. Askari waliokuwa wanaua ndugu zetu ni jeshi la uganda. Hatuwezi vumilia hii kitu #samiamustgo
BADO SIKU 4 TULIKOMBOE HILI TAIFA.
Mpaka sasa dunia nzima imeona uhalisia wa yote yaliyofanyika GIZANI—muda wa kuungana kama TAIFA kuenda kuidai nchi yetu mpya itakayojengwa na misingi ya HAKI.
Maandmaano ni Disemba 9-beba BANGO LAKO lenye ujumbe kwenda kwa WATAWALA NI MUHIMU SANA.
Faida kubwa tuliyonayo sisi ni wengi sana kuliko wao & sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU.
REPOST 200
#D9
#SiriNiNamba
#Disemba9Tunatoka
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@Jambotv_ Hawajawahi kiruhusu maandamano wagonjwa hao. Tutakuwepo na tutakinukisha hatuwezi ongozwa na kichaa. Sisi sio wajinga, tunajua nchi ni yetu sote aache kukengeuka na kujiona Mungu mtu. Cheo kisimpe kiburi tupo tutakuwepo na zitapigwa
Tuliwaambia, Samia anahatarisha usalama wa Taifa, leo Marekani wanasema anahatarisha usalama wa ukanda wa Afrika mashariki. She's incompetent and illegitimate. Kakos uhalali duniani na mbinguni! Na amegawa mpaka JWTZ. Fracturing the countries stability. Endeleeni kunyamaza!!!
Independent human rights experts condemn reported widespread and systematic human rights violations in #Tanzania 🇹🇿 following the general elections on 29 October, including allegations of hundreds of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass arbitrary detentions.
"They have conducted several denials, campaign of denialism, which occurs when mass killings and massacres occur." Dr. Paula Christina Rock, the Executive Director of Intel Watch.