@bonifacejoseph_ Waganga njaa hawa watunimegundua. Ukitaka ukae Marekani au ufadhiliwe uhakikishe unawasifia kila mahali.
Sijaona mahali Iran amemchokoza mtu, labda mnipe sababu ya kuichukia Iran
@mangekimambi Iran hawawapigi majirani zake wanapiga assets za Marekani na miundombinu yake.
Sin uhakika kwanini mtu achukie Iran kwa anachokifanya. Amechokozwa asishauriwe a react vipi. Sema nimegundua watu wa Yues hata ayoke wapi hawezi support 🇮🇷 kwa sababu.....
Kwa MNOs wote #Tanzania kuelekea #D9Tunatoka Ikitokea mmezima tena internet, katika mkakati wetu wa kufifisha nguvu yoyote ovu dhidi ya wananchi basi tutahakikisha miundombinu yote tegemezi tunaiharibu. BSCs na hata MSCs tunajua zilipo. Be warned!
@VodacomTanzania@YasTanzania_