Design is where creativity meets intelligence, transforming ideas into something visible and impactful.
Shout out to all the designers out there—you’re the minds behind the visuals that inspire, inform, and innovate.
Sifa ya Mwili ni kutoa ishara au taarifa endapo kuna jambo haliko Sawa mwilini, Shida ni binadamu tunapuuzia Sana!
Jenga tabia ya kufanya Check up!
ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA!
Sasa hivi ni kawaida sana Tanzania kuona watu wanakula fast foods na processed foods ambazo zinakuwa na kiwango kikubwa cha sodium, sukari nyingi, mafuta mengi na kemikali za kutosha tu.
Mwanaume kuwa na matiti (breast) kama mwanamke kitaalamu inaitwa gynaecomastia.
Hali hii husababishwa na mabadiliko ya homoni hasa ongezeko la homoni ya kike ya estrogen kuliko homoni ya kiume testosterone wakati wa balehe Hali hii hupotea yenyewe baada ya uwiano wa homoni
Adult Polycystic Kidney disease / autosomal dominant polycystic kidney disease (ADPKD)
Huu ni ugonjwa wa figo unaoweza kurithishwa, inakadiriwa kuwa kila mtoto anaezaliwa na mzazi mwenye ugonjwa huu ana 50% za kupata ugonjwa huu ingawa 20% ya wagonjwa wa ADPKD wamepata kutokana
KAMA HULI MBOGA MBOGA NA MATUNDA, HAYA NDIO MADHARA YAKE!
Mwili wa mwanadamu hauwezi kuweka akiba wala kuzalisha baadhi ya virutubisho muhimu kama vitamini C na B zilizo kwenye kundi la (water soluble vitamins) hivyo mwili utapata kutoka kwenye vyakula hasa mbogamboga na
Kama wewe ni binti wa umri miaka 26+ na huna mtoto epuka shisha/ sigara Kwa gharama yoyote Ile!!
Sigara/ shisha huathiri uzalishaji wa Ute Ute muhimu ukeni,
hupunguza uwezo wa kuchavusha mayai,
lakini pia hudhoofisha ukuta wa mji wa mimba,
Polycystic Ovarian syndrome haidhibitishwa kwa macho, Nenda hospital kwa ajili ya vipimo, epuka matumizi holela ya dawa.
Elumika, Hamasika, Chukua hatua, Afya yako Jukumu Lako!
#healthfarmtz
Ni mwezi mpya sasa, imarisha afya kwa kuzingatia mambo haya :- lishe Bora, mazoezi ya mwili, kunywa maji ya kutosha, pata usingizi wa kutosha na epuka vilevi.
ELIMIKA, HAMASIKA CHUKUA HATUA, AFYA YAKO JUKUMU LAKO!
#healthafarmtz#september2025