“Mzee Kifukwe ni miongoni mwa watu wachache sana ambao wameubadilisha mpira wetu. Ameleta mapinduzi makubwa, si kwa Yanga pekee, bali katika maendeleo na ukuaji wa mpira wa Tanzania kwa ujumla. Alikuwa mtu mwenye maono, uthubutu na uwezo wa kuacha alama ambayo itaendelea kukumbukwa kwa vizazi. Hakika mchango wake katika soka letu hauwezi kufutika.”
Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba
Sio kila content inafaa kupost, zingatia mambo haya kwenye uandaaji wa contents zako ili kuvutia wateja au partners..
1. UBORA / QUALITY
2. USAHIHI / CORRECTNESS
3. AUDIENCE
_______
KWA MSAADA
CONTACTS (+255) 0655190689 AU (+255) 0786757974
EMAIL: [email protected]
Kwa kutembea kwa muda wa dakika 30 au zaidi kioa mara unapunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama presha, kisukari, kiharusi na magonjwa ya moyo!
🧵
Vyakula vinavyoweza kudhuru figo zako:-
1. Vyakula Vyenye Sodiamu Nyingi.
E.g matumizi ya chumvi nyingi kama ulaji wa fast foods ambazo Mara nyingi huwa na chumvi nyingi.
Mazoezi yanapunguza msongo wa mawazo, yanakuoa furaha na yanaimarisha afya yako!
Hata kama wewe ni kimbaumbau, ingia field Fanya jogging, nenda gym, ...Usidanganywe eti mazoezi ni ya vibonge Tu!
Watu waliokatika hatari ya kupata ugonjwa wa figo, kumbuka Figo ndio kiungo Pekee kinachuhusika na kusawazisha kiwango cha maji mwilini lakini pia huhusika katika uondoshaji wa taka mwili na sumu mwilini.
🧵
Kumekuwa na mijadala mingi mtaani ikuhusishwa Upungufu wa homoni ya kiume ya testosterone na ukosefu wa ndevu.
Baadhi ya watu wanaamini kutoota ndevu Ni Upungufu wa homoni ya kiume, je kuna ukweli kiasi gani kuhusu Hilo?
🧵
Vitiligo ni hali ya ngozi kupoteza melanini, ambayo ni rangi asili ya ngozi, macho, na nywele.
Baadhi ya jamii zimekuwa na Imani potofu kuwa ugonjwa huu unampata Mtu alielaaniwa au katika familia zenye laana kutoka kwa mababu,
Amiba huathiri utumbo mpana na, bila matibabu sahihi, inaweza kusababisha hali hatari inayojulikana kama Amoebic Colitis. Hii ni aina kali ya maambukizi ya amiba yanayosababisha vidonda kwenye utumbo mpana, na inaweza kusababisha dalili kama maumivu makali ya tumbo,
Kama wewe ni mapenzi wa high heels na utavaa vitu Hivyo kwa muda mrefu, au mara kwa mara, jiandae na madhara haya Saba :-
1. Kuteguka kwa Vifundo vya mguu (ankles)
2. Maumivu ya Mgongo wa Chini
3. Maumivu ya Miguu
4. Kukaza kwa Mishipa ya Damu