Meneja wa zamani wa msanii Q Chief โQs Mhondaโ amefariki dunia.
Atakumbukwa kusaidia wasanii wa zamani akiwemo Q Chief, MB Dogg,Nay wa Mitego na H.Baba kupitia Qs Mhonda Ent. na Qs Music Band. Zaidi anakumbukwa kwenye kesi ya Q Chief ya kumwandikisha mkataba wa maisha.