Huku wakristu kote ulimwenguni wakijitayarisha kusherehekea siku kuu ya pasaka., Wakristu wa dini ya kikatiliki kutoka parokia ya Mtakatifu Nickolaa Port Victoria wameshiriki kwenye maandamano matakatifu wakiongozwa na baba paroko Rev Fr David Idodi.
MWENYEKITI wa Chama cha ODM wadi ya Bunyala Magharibi akiongoza wachana katika maandamano ya kupiga hatua ya chama kupea tiketi kwa Mjumbe wa Sasa wa Budalangi bila kupitia mchujo.
Kufuatia agizo la makao makuu ya chama @TheODMparty kusitisha uchaguzi wa mchujo wa ubunge katika jimbo la busia, mamia ya wafuasi wa aliyekuwa muwaniaji Chris Nakitari eneo bunge la Budalang'i wameandamano maandamano ya amani kutoka ufuo wa bukoma hadi mji wa port victoria.
Mpini FM Radio a local online radio has officially entered into partnership with Bulala 107.5 FM Community Radio Station to produce programs that aimed at teenagers and Youths during these long holiday March-April 2022.The Moi signed Between Bulala's Patrick Ojanji

.Aidha, chifu Mudonga amenyoshea kidole Cha lawama wasimamizi wa kampuni ya syno Hydro kwa kupuuza USHAURI wao wa kuziba vidimbwi vyote vilivio wazi baada ya kuzoa mchanga wa kukarabati kingo.
vidimbwi hivi lakini akashambuliwa na kifafa.
Juhudi za watoto hao watatu KUOKOA MAISHA yake zimegonga mwamba, NDIPO wakaitisha msaada kutoka kwa majirani waliyo umbali wa zaidi ya MITA mia tatu

Kwa mujibu wa chifu wa lokesheni ya Bunyala Mashariki bwana Tom Mudonga, mwendazake kwa majina Riselyne Anyango Wandera, mwenye UMRI WA miaka 25 ameandamana na watoto wake wawili pamoja na mwingine wa jirani kwenda kutafuta samaki

Hali ya Simanzi imeshuhudiwa Kijiji Cha Budunyi liokesheni ndogo ya Mudembi, baada ya Mama mmoja kufariki kwenye baadhi ya vidimbwi viliviojaa maji viliviowachwa wazi na kampuni iliyohusuka na ukarabati wa tuta la kaskazini kuzuiya mafuruko ya Budalangi.

Hivi Punde: Moto wazuka katika mtaa wa Mbotela kaunti ya Nairobi. Juhudi za kuzima zina endelea na kitengo cha wazima moto cha Kaunti ya Nairobi.
@citizentvkenya@bulala_fm