@ciqwernzer@mr_kgt@Chiboboy4@omegaray_ Sio wote wanasoma ili waje kupata ajira nzuri jitahidi kuview mambo kwa angle tofauti tofauti na jitahidi kuizoesha akili yako kuona positivity in each aspect itakusaidia sana
@ThatBoyKhalifax Hili ni wazo zuri sana nafikiri inahitajika ipatikane namna ya kuunganisha hizi familia kuwe na movement ya kupigania watu waliopotezwa, badala ya wanaharakati kutukana viongozi mitandaoni waje na namna ya kutatua haya masuala kupitia influence na nafasi walizonazo katika jamii
@IsuAdam@The_PR0F3S0R Forex will treat you very harshly u will have to deal with your inner self kabla haujaiona profitability consistently. kama una moyo mwepesi achana nayo, kama ww ni mtu wa kukata tamaa pale unapoona changamoto achana nayo
@Positivenga1 Hizi changamoto ulizoelezea zote hapa zina soln zake it's up to mtu anaetaka kuwa trader kudeal nazo. Hizo zote ni excuses za mtu alieamua ku quit fx.
Gemini anaielezea Retail Forex Trading kwa maneno marahisi sana;
“Fikiria kama wewe unaingia kwenye uwanja mkubwa wa mpira ambapo unataka kucheza mechi dhidi ya timu nyingine ili upate ushindi, lakini unapofika uwanjani unagundua mambo matatu ya kushtua.
Kwanza, mwamuzi wa mechi hiyo ni yuleyule anayecheza
upande wa timu pinzani. (Mara nyingi Broker wako ndo Counterparty)
Pili, mpira unaotumika umetengenezwa maalum ili uwe mwepesi kwao lakini
uwe mzito kwako, (mambo ya Slippage)
na tatu, ubao wa matokeo unasimamiwa na wao wenyewe.(Broker wako anaona ulipoweka Stop loss and cant push the price to hunt it)
Je, unadhani unaweza
kushinda mchezo kama huu? Hiyo ndiyo hali halisi ya
"Retail Forex Trading."
@TriciaAbou Binti hana kosa lolote sometimes ni sawa kufanya kile kilicho sahihi kutokana na mitazamo yako na vile unavyoamini. Rather than overthinking the situation let love flow and focus on doing what is right.
Haya, iko hivi...
Angalia hizi scenario mbili then u'll realize where the toughness of forex trading always starts...
1. Unaanalyze soko. Unatega. Then baada ya kuingia trade unaona price ina move direct to your Stoploss then baada ya hapo ikishaa kula kichwa, inageuka inaelekea ilipo Target yako..
2. Unaanalyze soko, then unapata trade lets say ya ku-"Buy" Na unajiamini kuwa uko right, unaweka SL, then price inachapa SL alafu ina-Sell vibaya mno.
Umeona hizi Scenario mbili? Najua, hakuna ambayo unaweza kui-Miss kati ya Losses zako zote. Lazima zina fall kwenye hizi two categories...
Sasa bana, kuna baadhi ya watu watakwambia "USIWEKE SL KWASABABU INSTITUTION ZITAONA NA KUIWINDA SL YAKO, SO IF U NEED TO WIN THE GAME ACHANA NA STOPLOSS, ITS A SCAM"
Hapa ndo tunapata nadharia inayoitwa "STOPLOSS HUNTING"
Kwanza kabisa, unatakiwa kuelewa hivi, watu wenye uwezo wa kulisogeza soko na kuifanya price i-move TECHNICALY ni SMC traders (Hapa nazungumzia Institutions) hawa ni kama Hedge funds, mabenki makubwa, Makampuni ya uwekezaji na kadhalika...
Sasa unatakiwa kuelewa zaidi ya kuwa, hawa watu wana Mitaji mikubwa mno, wana uwezo mkubwa wa kusogeza Bei lakini pia wana Data nyingi kuliko wewe hapo unayesoma huu uzi. Hawa jamaa wanaweza kufanya maamuzi YOYOTE kulingana na taarifa za ndani (Insider information) na factors zingine zinazohusisha uchambuzi wa kimsingi (Fundamental analysis). Na uchambuzi thabiti wa Technical (Sijui niiwekeje kwa kibongo).
SMC traders wanaamini kuwa "The best trades always happening after the retail traders have been taken out from the market" (Nimejaribu kuiweka kizungu ili ipendeze sasa kama kinge kimepinda utajua wewe, kikubwa mzigo ufike). Kwahiyo, ili Institutions ziingie sokoni kupiga hela retail traders wanapaswa kuliwa kwanza vichwa ndio maana kuna msemo unasema "Where retail traders put Stoploss is where smart money makes money".
Sasa nataka nikukumbushe kuwa, institution ndio zina power ya kuku induce, ku fake movement na kukuundia structure uzame ukidhani uko sahihi kumbe ni mtego ili uprovide liquidity kwaajili ya Orders zao!.
Kwahiyo, muogope sana mtu anayekwambia "USIWEKE SL KWASABABU WASHKAJI WANAIONA THEN WANAI-HUNT WAKUTOE SOKONI". Narudia, MUOGOPE SANA MTU WA NAMNA HIYO, kwasababu SMC traders hawawindi SL yako peke yako, wao wanawinda LIQUIDITY POOL ili wai-wipe it out kwaajili ya kuprovide liquidity kwaajili ya Order zao (kwahiyo hata usipoweka Hutaizuia price kuamua ilichotaka kuamua). Liquidity pool ni collection ya SL na Orders nyingi (SIO SL YAKO PEKE YAKO). Kwahiyo, hii inachora picha kuwa, Institutions always knows ni wapi mmeweka Stoploss kwasababu ni Obvious inajulikana. Ulipoweka wewe SL na wenzio (emotional traders) wameweka same place. Maana yake ni kuwa, unapoweka order ukaachana na SL utachoma account kwasababu kwenye SMC kuna nadharia inasema "Price doesn't moves randomly: it moves to Liquidity". Na ili iendelee na Movement, ni lazima itosheke na Liquidity iliyokusanywa. Isipotosheka mpaka ikatafuna account yako yote ndio UMEPOTEZA ACCOUNT!! (Wewe ni Looser na hii game utaikimbia kwasababu hutakuwa na hela za kuchoma kila unapo-loose).
So jifunze ni namna gani Institution zinatrade (wakati sahihi wa kuingia trade baada ya wengine kutolewa sokoni na unaingilia wapi), ukijua utaelewa ni sehemu gani ni lazima uhakikishe umeiva (TECHNICAL HAIJAACHA KITU) vizuri ili kupunguza idadi ya mikando, na ku provide liquidity sokoni. The reason is, Soko halijaundwa ili wewe u-win, kwahiyo unapaswa kuwa smart zaidi ku tackle na kukwepa miba na ndio maana kwenye institutional trading kuna msemo unasema "If the moves looks obvious, its PROBABLY WRONG😁"
Hii ina maana ya kuwa, NI LAZIMA UJIFUNZE KUWA TOFAUTI SOKONI, UNLESS OTHERWISE WASHKAJI WATAKU-HUMBLE MPAKA UIKIMBIE GAME.
Learn how to trade like Institution kwasababu nyie hata mjikusanye myatano na mitaji yenu ya dola myambili-mbili hamtaweza kusogeza hata candle moja. Wao ndo wanali move soko, USISHINDANE NAO. UNGANA NAO!