@apto96@SeekNaturalLife Mikoa yote Tz wanataka kujaribu wanawake wa manyara kutokana na uzuri walio nao, unadhani hao wanawake wanakutana na wanaume wangapi wanaowatongoza per day? Hapo ndipo umalaya unapoonekana.
@ciqwernzer@Chiboboy4@omegaray_ Dah! Bro umesoma post ya mwana lakini. Mwamba alipata ajira, kutokana na kukabidhiwa mdogo wake amsomeshe, mshahara wake ukawa hautoshi kujikimu. Akaacha kazi akaanza kupiga boda, now anabajaji, na maisha si kma mwanzo. Sasa ipi bora kati ya hizo?
@ciqwernzer@Chiboboy4@omegaray_ Kwani amepost kwa kumdhihaki?
Me nadhani mwamba amepost kuwapa inspiration wengine ambao wanadhani ajira za maofisini ndo njia pekee ya kujikwamua kiuchumi.
@Ntobi_@John_Pambalu@StevenMrosso1 Toa mfano wa kijana wa chadema ambae ni kiongizi aliyetoa kauli mfanano wa hizo. "Mbowe anakiburi na hajitambui".
NB: hata ikitokea yupo aliye mtukana mbowe bado haihalalishi Kawaida kumtukama Nchimbi. Wote wanakua wamekosea.
🍎🥕Every nutritious meal creates an opportunity for a child to learn, grow and reach their full potential.
We recognize @WFP colleagues like Deborah, whose work in nutrition and school feeding is helping shape healthier futures for children in #Tanzania.
#WorldHumanitarianDay
Food assistance begins long before it reaches the people who need it.
For Mabuyu and the @WFP 🇹🇿 supply chain team, every shipment moved, every route planned, and every challenge solved helps deliver food, hope, and opportunity to communities.🚚
#WorldHumanitarianDay
On #InternationalYouthDay, meet Zawadi & Samuel, owners of Zawadi Agrovet. 🌱
Support from @WFP & @MastercardFdn helped these agripreneurs to leverage digital platforms to reach more farmers, enabling their business to expand into new districts across Arusha & Manyara.