@YoungAfricansSC Nawashauri viongozi wa Yanga kaeni kimya msirudie haya maneno , study the optics before you say anything. Kipind hiki mkija vibaya hata watu hawataingia uwanjani ku support timu, trust me. Mmefanya damage kubwa kwa mashabiki, let them heal