Muda wangu mzuri kila siku ni pale ninapo Fanya kazi na kufanikiwa,Maisha bila kazi,fedha na Mali sio kitu,tujitahidi kuweka akiba,tutunze mali na fedha kwajili ya watoto wetu
@yaseen1096@nachocharuwa@KennedyMmari Una macho lakini huoni,una masikio lakini husikii,una miguu lakini hutembei una mikono ambayo haiwezi kushika chochote
@The_PR0F3S0R@Nkya_motors Waache wanao puuzia technology hasa hii AI watu wengi sasa hivi tuna tumia AI kwenye vitu muhimu ambavyo hapo awali tulikua tuna pigwa pesa sasa hivi ni nafuu sana
@Adventure_36@LMwimbile Nina kiwanja changu 1607 SQM,Block 16 Barabara kuu hiyo ya Mivumoni na ni kiwanja Cha kona matumizi ni biashara (200 Millions Tsh)
@MkulimaKante@CarlmaaAI Kutokana na wingi wa watu Kuna bidhaa ukiweka sokoni utauza ikiwa una team nzuri ya masoko na mauzo kwa bidhaa za GSM Bado sana kishindana sokoni na MO kama ilivyo kwa Jambo,Sayona,Afiya na Azam yenyewe Bado sana kumpiku MO
Obugalo banange @KiiraMotors!!
πΊοΈ 7,125km from Kampala to Cape Town. One Made-in-Uganda electric bus.
π Proven world-class performance at 0.83 kWh/km, 3,240kg COβ avoidedβpowering clean regional travel, π€ cross-border connectivity, and people-to-people movement.
π The Kayoola E-Coach moved freely across AfCFTA states as a tradable African good, π expanded market access for African manufacturers, π€ secured a landmark 450 e-bus deal, and proved intra-African trade and harmonized operations at scale.
When a system begins producing its own data, capital, and contracts, external narration becomes a lagging indicator. Uganda and Africa have crossed that point. We scale.