#BreakingNews Kivuko cha Mv Nyerere kinachifanya safari za Ukara - Bugorora katika ziwa Victoria kimeripotiwa kuzama kikiwa na abiria ambao mpaka sasa haijaelezwa idadi yao.
#BusatiLaHabari Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameuagiza uongozi wa Halmshauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara kuboresha soko la ndizi la Rebu