@kapeto98@MissChelsea1221 Now days soko la hajira halijali umemaliza chuo gani kila campuni inaangalia una nini kichwani ata kama umemaliza UDSM Lkn kichwani sio smart mtu alie soma zioni colloge ana ku beat kwenye soko la ajira
@kabigwa_78 Mbaka saiz deal nnayopiga nmeipata kula na kuna nyingine naanza ivi karibuni nayo nimeitoa kule tena zimenyooka sana jitahidi tu kuitumia vizuri utapata rel connection