Masoko ya Trade yamechafukwa, tangu Trump aingie Madarakani,
Yamezidi chafukwa zaidi, jana baada ya Trump, kutangaza Tarrifs kwa bidhaa zinazoingia kutoka nje ya nchi.
Incase hufahamu,
Jana Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kodi mpya ambayo atakuwa...
Endelea....๐
Ijue app hii kama mfanyabiashara
Bizi Social Marketplace App
1/ ๐ฒ Bizi Social Marketplace App ni nini?
Bizi ni aplikesheni ya simu inayofanya kazi kama soko la kijamii la kimtandao, ambapo wafanyabiashara hukutana na wateja wao kufanya biashara kwa urahisi.
Benjamin Fernandes' fintech, Nala, helps 500,000 Africans working abroad send money back home. Now he's aiming to build a cross-border payment system for multinationals doing business in Africa. https://t.co/W1QSDkwLnf