I wish a more diverse startup sectors in Tanzania beyond fintech
Tuangalie upande wa Agritech, Edtech, Logistics, hardware, Millitary, etc.
Japo Fintech pia haijatendewa vizuri compared to Naija, Kenya, SA etc, lakini kila Founder anawaza Fintech instead of other sectors.
Kama unajiona una akili nyingi, kucheza retail Forex ni kuivunjia heshima akili yako, ni matumizi mabaya ya akili yako.
Tuna matatizo mengi sana Tanzania na Africa, yanahitaji watu wenye akili kama wewe kuyatatua na kuyageuza fursa.
Hapa Tanzania hatuna urahisi wa kuimport vitu from China, Dubai, digitally.
Insurance ni still the biggest challenge.
Kuna watu wana mzunguko mkubwa wa biashara lakini hawakopesheki kisa hawana hati za nyumba.
Housing still an issue na population inaongezeka.
lakini mwenzetu na akili zako zote unaenda kushinda kwenye screen kuotea ipi itapanda na ipi itashuka! Really?