@bohny_chengula 1•E-sim ndio kila kitu•
2•Usiweke access ya "airplanemode" pamoja na "airdrop" kwenye control centre.
3•Set alarm zaidi ya moja (repeat daily) wakati flani=itasaidia kuwasha simu ikitokea imezimwa
4•Usisahau email & password yako ya icloud.
kwa watumiaji wa simu za i4n
KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.
SOMA BARUA HIYO.
REPOST 400✅️✅️✅️✅️
#NoReformsNoElection#TUTAKUWEPO🫵😎