#TajiriLaKihaya
Ufaham kwamba JAMBAZI wakitaka kukuvamia NYUMBANI kwako - watakuvamia tu… wakihitaji Milion zao watakuja tu kuzifata!
Ila Tukijenga Nyumba , tunaweka milango, tunaweka Geti kubwa kwenye fence,Tunazungusha Ukuta… ikibidi tunaajiri na Masai kabisaaa hata kama Hana silaha…
Ni kweli Mungu Anatulinda ila hatumuachii bila kufanya chochote-
Vivyo hivyo Kwa wake zetu-
Ni kweli kwamba mwanamke kama ni kahaba au Hakuheshimu na Akiamua kucheat kwenye ndoa atacheat tu!
Ila Tunamtengenezea mazingira ya kumlinda na kumuepusha na vishawishi vya nje-
Kwanza kabisaa ni kabla Haujao- unachagua Mke atakae Kua Mama Bora kwa watoto wako na Mlezi wa familia- awe BIKRA, ukishindwa basi Asiwe SINGLE MOTHER, na atoke kwenye familia nzuri- awe kalelewa na maadili mazuri- ikiwezekana na wazazi wake wawili Haswa BABA.
Pili,Hakikisha anakua House wife- hata kama ni msomi- kazini kuna vishawishi vingi saana- unam Expose mke wako na threats nyingi saana kule kazini…
Mke kazi yake kuu ni KUZAA KWA UCHUNGU na kulea familia… Mwanaume KATAFUTE RIZKI KWA JASHO…
Mwanaume ukishakubali kwenda kinyume na maandiko na kufata Mila za kizungu za 50-50 tayari Ushapotea na Ndoa imeshakushinda!
Wanaume tuyakubali majukumu na tuwalinde wake zetu kwa wivu mkubwa mno!
Sylvanus Olympio: Rais Tajiri, shujaa wa Togo aliyeuwawa kinyama kwenye mapinduzi
Sylvanus Olympio, rais wa kwanza wa Togo, ni mmoja wa viongozi wa historia ya Afrika ambao maisha yake yalijumuisha tajiri, uhodari, siasa na hatimaye mapinduzi yasiyosahaulika.
Boycotting ni culture inatushinda sana watanzania wengi!!
Huwa tuna-Act masaa 12 tu then tunasanda, Hatuna consistency!!
Hatuwezi kushikilia bomba!!
Hii tungeiweza ilikuwa ni moja ya silaha nzuri sana, huhitaji bunduki,kifaru wala bomu kumuadhibu adui!!
Sasa tunajisahau tunaanza ku-engage kwenye debate za who’s the next PM?
Why? Means tumeshauhalalisha uchaguzi?
Posting and sharing those clips za bungeni sijui topics za wanamuziki ni dalili za kusahau agenda za msingi na kutoka kwenye mstari!!
Ndomana wanatudharaugi na kusema wabongo wiki tu wanasahau maisha yanaendelea!!
TUKAZENI BANDUGU
Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao.
Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha wataacha na watarudi kwetu wakisema “Nisameheni, yale mambo siendelei nayo tena, najua niliwakera ila nimeacha”. Na sisi kama kawaida tutawapokea vizuri tukisema“Angalau umejitambua, hayo ndio maneno, safi umefanya jambo zuri” na maneno mengine mengi. Pasipo kutambua waliyoyafanya tayari yalishasababisha damage/madhara mengi.
Ninachojaribu kusema chochote kibaya kwa sasa kinapaswa kukataliwa sio kwa maneno tuu bali hadi vitendo vihusike, kama utakataa hashtag kwa maneno ila mtu huyohuyo ni mshirika wako kwenye mambo mengine ina maana ataona ni sahihi yeye kuendelea kufanya yale yasiyo sahihi. (Mfano, ukikemea uuaji alafu marafiki zako ni wauaji ina maana na wewe unachangia wauaji wale wawe comfortable kufanya yale mauaji kwasababu hakuna repercussions, (wanaona hutowafanya chochote mwisho wa siku).
Tunapokataa hashtag zao alafu haohao ndio tunawaita marafiki, wapenzi, washkaji, dada/kaka, shangazi, Mwana, shoga yangu, Shemeji, ni kama tunawapa urahisi wa wao kufanya yale wanayoyafanya.
Tukikataa Hashtag tukatae na wanaozisambaza, na hata siku wakiona wameshajikusanyia mitonyo ya kutosha hivyo wanataka kuacha na kujirudi kundini pia muendelee kuwakataa, itakuwa ni funzo kwao na funzo kwa wale wanaofikiria kufanya yale yanayoumiza Wananchi.
Kama tutapuuzia na kuona ni ujinga au hatuwezi basi pia tusilalamikie habari za Hashtag Kandamizi. Maana malalamiko ya bure bila vitendo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Mabadiliko huanza na wewe, Kesho Bora umeibeba wewe.
¿Y TÚ ERES MADRE TAMBIÉN ?
Hii kauli ya Rais Samia, sio kauli ambayo unategemea kuisikia kutoka kwa MAMA, wala kutoka kwa COMFORTER IN CHIEF. Mama zangu (wakubwa na wadogo), Mama Mzazi, Shangazi zangu na even Dada zangu ambao tayari wana Watoto, wote kila mmoja kwa Wakati wake ameniambia in verbatim, “KUONA PICHA ZA WATOTO WETU WALIVYOPIGWA RISASI, TUMBO LIMECHEZA”.
Mama mwenye compassion wakati huu hatoi onyo!! Mama ana comfort, anatoa ukaribu, anabembeleza, analisha, anapenda, nk.
Maafa yametokea, ila mtu anayepaswa kuwa “MFARIJI MKUU” anatumia nguvu zaidi kutishia, kuliko ya kufariji na kutoa matumaini. Na isitoshe tunahalalisha matumizi ya nguvu iliyotumika, na kutishia utayari wa kutumia nguvu zaidi. NO REMORSE, whatsoever… smh
Nchi za wengine, Viongozi huokoa Maisha kwa gharama yeyote. Ila sisi Wetu wanasema Wanapigania Usalama wa Taifa kwa Gharama yeyote baada ya Watoto wetu kuuwawa kwa mamia. Filamu ya “SAVING PRIVATE RYAN”, kikosi kilicho chini ya Captain Miller, kilienda kwenye mapambano kumsaka Ryan ambae ana cheo cha chini kabisa ili wamnusuru na kifo maana kaka zake wawili walikuwa wameshafariki vitani so serikali ikasema Mama yao basi asimpoteze watoto wote. Yaani walikufa askari mamia ilimradi tu wamuokoe mmoja. HIYO NDIO MAANA HALISI YA “KWA GHARAMA YEYOTE”.
JE, NI KWELI USALAMA WA TAIFA ULIKUWA HATIANI, KISA GEN Z WAMEANDAMANA?! Na hata baadhi yao walipopambana na Police wao wakiwa na MAWE, na Police wakiwa na BUNDUKI, TEARGAS, VIRUNGU, kweli hiyo ilikuwa Threat ya NATIONAL SECURITY au Threat ya SAMIA’S PRESIDENCY ?! 🤷🏾♂️🤔
Tone ya kauli za Rais, na ya baadhi ya Makada wa CCM (I am looking at You Kenan Kihongosi) inaashiria kuwa wapo tayari kuumiza watu zaidi, na watamuangushia mtu jumba bovu. Huu ulikuwa muda wa Watawala KUJISHUSHA, kuwa WANYENYEKEVU, KUINGIA GHARAMA YA KUPONYA, ila wao wamechagua KUTUSHURUTISHA kurudi kwenye shughuli zetu za kawaida, KUTULAZIMISHA KUJISAHAULISHA kama hakijatokea kitu, na WENYEWE TUGHARAMIE LOSSES.
How do you force people to go back to normal lives, while there is nothing normal around them?! Where is EMPATHY? where is COMPASSION? where is HUMILITY? “Naongea Kama MAMA” How?!
The Leader