Senator wa Marekani akifariki, mara nyingi Gavana wa jimbo lake huwa anachagua mke au mume wa kiongozi aliyefariki aongoze hadi muhula wa uongozi utakapo isha. Senator Lindsey Graham aliyefariki wiki iliyopita hakuwahi kuoa wala kupata mtoto, hivyo nafasi yake amepewa dada yake.
@abusumayyah_o NDUGU ZANGU WA TANZANIA WENZANGU TUFANYE YOTE TUSIINGILIE ABARI ZA DINI UKROTO NA UISLAM UTABAKI PALE PALE SIASA NA WANA SIASA WASIO NA WELESI WASI TU CHONGANUSHE WAZEE NAWA SALIM WOTE KWA PAMOJA SHALOM HALEKUM NDUGU ZANGU WA KRISLAM🫡✅
Professor Sarungi aliwahi kuwa;
1. Waziri wa Afya
2. Waziri wa Elimu
3. Waziri wa Mawasiliano
4. Waziri wa Ulinzi na JKT
5. Mkuu wa Idara hapo UDSM
6. Mbunge kutoka huko Rorya
7. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
8. Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili
9. Mwana TANU kisha CCM tangu 1971