Jamaa akajibu" Me and rapcha we have an unspoken Rule, Hakuna mtu anaejua sababu ya ugomvi wetu zaidi ya sisi wenyew, na tumechagua kutozongumza popote"
Ukiachana na Nobody safe series na tambo za apa na pale, BRO mtu flani humble sana, Sijuh bwa mdogo alijichanganya wapi?
kuna siku Mwandishi Mmoja alimuuliza @dizastavina kuhusu ile vita yake na bwana Mdogo.
Humbly, Jamaa akajibu " Only cowards husheherekea vita, Waungwana hunawa damu na ku-move on.."
The other day, Akaulizwa kuhusu sababu ya beef yeye na Rapcha.
πππ
Just Imagine Mchina anatoka Guangzhou anasafiri umbali wa kilometers 8500 paka Dar anashuka anaelekea kagera anatumia siku nzima paka kufika kwenda kulima kahawa. Alafu kuna mdau anamipunga lakini akili yake inaishia kwenda kuchukua jeans na iphone used China??