@airtel_tanzania leo ni siku ya 3 tangu nimeunga kifurushi na mpaka sasa sijaweza kukitumia na ni siku ya tatu mfululizo kupiga simu call centre bila ya tatizo kutatuliwa. Hizi siku zinazopotea zitakuwa recovered? Na athari ya kukosa mawasiliano nani atalipia?
Kwanini nchi za Afrika zinategemea support ya nje katika kuendesha miradi yake. Tatizo huwa ni nini:
- Tunatumia faida kwenye matumizi mengine na kusahau kuboresha miradi husika?
- Hakuna faida?
- Ni nature yetu hatuwezi kutunza miradi?
- Wizi na matumizi mabaya ya fedha?
TANZANIA TANZANIA TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
When the basics are right , everything falls in place🙌
The quality of the Tanzanian league and how good the clubs perform in continental competitions just showed in their qualification❤️
Tanzania’s investment promises remain unfulfilled with delayed projects, legal suits, and no jobs for locals. Witnessing Trillions in Projects, but where are the Jobs and Progress?
What’s Wrong with Tanzania’s Investment policy? What’s behind the failure?
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬
"Mchezo wa kesho ni mchezo mgumu na tunajua wanataka kuja kucheza ili washinde mechi na kulipa kisasi lakini tumejiandaa kwa hilo, sisi tuna timu imara ambayo inaweza kucheza kwenye presha ya aina yoyote. Kama wanadhani wakija na presha ya kulipa kisasi inaweza kuwasaidia basi linaweza pia kuwa kosa" Kocha Mkuu Miguel Gamondi
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Watu hua wanadiss sana watu ambao wameokoka, Sema one of the best decision kijana unaweza ukafanya ni hili la kuokoka.
Utapoteza marafiki yes, unaweza chukiwa na watu au kutengwa na ndugu yes, ila your life will never be the same.
Usisikilize watu ambao waliokoka na kurudi nyuma kwa sababu zao.
Usisikilize wale ambao wanakwambia ukiokoka maana yake umeanzisha vita na shetani. Wao shetani wanamjua?
I have spent fantastic 4 days in Tanzania 🇹🇿 .
We witnessed beautiful CAF Champions League Quarter-Finals football over the Easter weekend and fantastic fans for both Simba and Yanga plus great atmosphere.
The future is bright for Tanzania football ⚽️ they are on another level in Africa 🌍 after years of hardwork they have made football exciting to watch .
@soka25east
"Tunafahamu Klabu yetu ya Young Africans SC ina mchezo mwingine wa pili kule Afrika Kusini hivyo Uongozi wenu umefanya jitihada za kupeleka Ombi katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo chini ya Waziri wetu Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro la kusafirisha mashabiki kwa njia ya Basi na tunaishukuru Wizara kwa kukubali Ombi letu.
Wizara itahudumia gharama zote za safari ya kuelekea Afrika kusini yenye Wanachama na Mashabiki wetu 48 kuanzia Nauli mpaka pesa ya kujikimu, hivyo sisi Young Africans tunaishukuru sana Wizara.
Hapo mwanzo tulitangaza watu watakaosafiri walipaswa kuwa na shilingi laki 6 na tulipata watu 30, niwahakikishie baada ya Wizara kukubali kusafirisha Wanachama na Mashabiki wetu,zile laki 6 zitarudishwa kwa wenyewe.
Niwatakie safari njema na nina imani safari yetu ya kurudi itakuwa nzuri kwakuwa tutarudi tukiwa tayari tumeshafuzu hatua ya nusu Fainali" Rais wa Young Africans SC Eng. Hersi Said akiongea na Wanahabari wakati wa kuwaaga Wanachama na Mashabiki wanaosafiri kuelekea Afrika Kusini Makao Makuu ya Klabu Jangwani.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
THE UNITED REPUBLIC OF WAHUNI, pichani ndio Rais wao kwenye hiyo nchi ya Wahuni! Kichwa cha habari kinasema Mhuni kutoka Kinondoni Moscow aliyeishi ndoto zake, passport ndani ya nchi ya Wahuni ni Mission wanataka kuiteka Afrika, Mhuni ameipeleka Yanga fainali ya Shirikisho, Mhuni ameipa ubingwa back to back Yanga na bado anaendelea.
Baada ya mafanikio ya kihistoria msimu wa 2022/23 Kocha Nabi alibisha hodi ya kutaka kuondoka, akamwambia nimekusikia na nakutakia kila la heri, likaja benchi zima mpaka wakina Kaze akawaambia nimewasikia nawatakia kila la heri, Mhuni akaendelea kuvuta tai yake vizuri kusubiri nani mwingine anataka kuondoka, kumbuka tayari amempoteza Feisal Salum hapo.
Wakati anaendelea na mipango yake ofisini akapokea simu ya Yannick Bangala anataka kuondoka akamjibu Fresh Asante MVP, akapokea simu ya Djuma Shabaan kuwa anaondoka akawambia njoo ofisini upitie barua yako, mwisho ni pigo la kubwa Top Scorer Fiston Mayele, akamwambia Fresh kwa heri ya kuonana Predator, asanteni nyote kwa kumbukumbu na page ikaandika THANK YOU za kutosha.
Mhuni akarudi tena kwenye ramani ya vita, akaweka alama maeneo yote ambapo watu wameondoka na kuyatambua kama No Man’s Land kisha kusuka upya mapambano! Yanga imeanza msimu bila MVP, bila bench karibia lote la Ufundi, bila Top Scorer, bila Winger hatari BM33, bila Yannick, bila Feisal wala Djuma Soldat ya Bemba, bado haikuwa na tatizo! Mhuni karuhusu watu halafu kaenda kuvunja rekodi ya klabu.
Msela na Mhuni on a Mission! Anatemba na Presidential Emergency Satchel, muda wowote mahali popote, linalipuka😀💪
Mwandishi nae ni MHUNI tu anatokea nchi hii, si alisema Yanga wana wakati mgumu?😀