Jaymoe tayari alikuwa Top 10 all time Rapper in TZ… Ila kwa jinsi anavyo endelea kuji-reinvent na kwenda sawa na madogo wa kila era (not to mention dropping dope music), It is safe to say Top5 hizi hazipo SAFE!! At least mine isn’t… He is claiming GOAT Status
“Wayback” & “Moccassin” are nice records!
And it will be interesting to see if truly they will move the culture with the latter… It will be Jay-Z like. 🙌🏽
Mliisubiri sana? Basi shaka ondoa kwani tayari tumeileta kwenye Spika zako 🔊🔊
KAUTAKA by @Jaivahtz is OUT NOW in all digital platforms 🔥🔥
Isikilize hapa chini:
https://t.co/iMC2cHVIeI
Mastory ni mengi na @jaymoefamous natumai Part 2 ulienjoy sana kama ulifanikiwa kusikiliza live, ila kama bado basi mzigo uko you tube now,fuata link 👇🏾
#Theclassicefm
https://t.co/nQlFz7DC4g
We Have Big News 🚨🏆
Baada Ya BURUDA, Nyota Wa Bongo Fleva @Jaivahtz, Ataachia Mkwaju Wake Mpya Wa Kuitwa KAUTAKA, Mei 8 Mwaka Huu Wa 2024 🔥🔥
We Can't Wait ✅