Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa shule na familia ya wanafunzi waliopoteza maisha kwa ajali ya moto shule ya msingi ya Byamungu Kagera.Roho za Marehemu zilale mahala Pema Peponi.Amina
Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha sita wanaofanya mtihani wa Taifa kote nchini kuanzia leo Juni 29, 2020.
Tunawakumbusha kuzingatia Sheria na kanuni za mitihani.
Mwenyezi Mungu awasimamie.
#Necta2020
NDUGU ZANGU MSISAHAU KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA NA PIA KUWAKINGA WENGINE TUFUATE USHAURI UNAOTOLEWA NA WATAALAMU WA AFYA.TANZANIA BILA CORONA INAWEZEKANA.
@makonda_paul Tuzidi Kumwomba Mungu.Pia swala la usafiri wa umma ni tatizo maana mabasi yote yanajaza sana watu wanagusana hiyo ni hatari kubwa tuliangalie Hilo tuchukue tahadhari kama inavyoelekezwa tujikinge na ugonjwa.
WISHING YOU ALL HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE.WE HAVE REASON TO THANK ALMIGHTY FOR GRACES AND LOVE THROUGHT THE YEAR, HEALTH IS MOST IMPORTANT OTHER REMAIN CONSTANT GOD HAS GIVEN US ANOTHER CHANCE TO CORRECT WHERE WE FAILED AND FULFIL WHERE WE COULDN'T FINISH .WE HAVE TO BE THANKSFUL
WATANZANIA WENZANGU NAOMBA TUUNGANE KUKEMEA UBAKAJI KWA WATOTO INAUMIZA SANA KUWAKATISHA NDOTO ZAO HAYA MATUKIO YANAZIDI KILA KUKICHA TATIZO LIKO WAPI?TUPINGE UKATILI.
WATANZANIA WENZANGU NAOMBA TUUNGANE KUKEMEA UBAKAJI KWA WATOTO INAUMIZA SANA KUWAKATISHA NDOTO ZAO HAYA MATUKIO YANAZIDI KILA KUKICHA TATIZO LIKO WAPI?TUPINGE UKATILI.
Kalamu mmepewa,
Karatasi pokea,
Akili zenu tuliza,
Kilicho bora andika.
Wanafunzi wote t'nia,
Wake kwa waume,
Upili na vyuo,
Kilicho bora andika.
@TSNP_Wanafunzi katoa mwangaza,
Uwanja wenu sasa,
Maneno makumi kwa maelfu,
Kilicho bora andika.
Credit to @AyendaMethusela