@MariaSTsehai Sijawahi ona chama chenye wapumbavu kuzidi mbogamboga, imagine wamefungia mitandao ya kijamii mf X Alafu hao hao wanatumia mitandao hiyohiyo kuwahabarisha wapumbavu wao. Sasa sijui watapataje hizo habari😁😁😁
@SuluhuSamia Umefungia mitandao ya kijamii, mpaka tutumie VPN Sasa huku unampostia nani. Yani umefunga tusitumie alafu unapost taarifa huku. Yule mama wa ACT alisemaje vileee 😁😁😁
@earadiofm Askofu kitima kapigwa, kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, kwanini gwajima asifungiwe yeye kama yeye kuhubiri badala yake lifungwe kanisa, mkuu wa mkoa akizingua ofisi zake hazifungwi, yeye ndo anafukuzwa, hii ni vita dhidi ya ukristo. Unafungaje kanisa kwa kukemea utekaji
@CloudsMediaLive Askofu kitima kapigwa, kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, kwanini gwajima asifungiwe yeye kama yeye kuhubiri badala yake lifungwe kanisa, mkuu wa mkoa akizingua ofisi zake hazifungwi, yeye ndo anafukuzwa, hii ni vita dhidi ya ukristo. Unafungaje kanisa kwa kukemea utekaji
@JamiiForums Wakristo tushtuke, askofu wetu kitima kapigwa, kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, kwanini gwajima asifungiwe yeye kama yeye kuhubiri badala yake lifungwe kanisa, sijawahi ona mkuu wa mkoa amezingua ofisi zake zikafungwa, yeye ndo anafukuzwa, hii ni vita dhidi ya ukristo.
@Jambotv_ Wakristo tushtuke, askofu wetu kitima kapigwa, kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, kwanini gwajima asifungiwe yeye kama yeye kuhubiri badala yake lifungwe kanisa, sijawahi ona mkuu wa mkoa amezingua ofisi zake zikafungwa, yeye ndo anafukuzwa, hii ni vita dhidi ya ukristo.
@HildaNewton21@SuluhuSamia Wakristo tushtuke, askofu wetu kitima kapigwa, kanisa la ufufuo na uzima limefungwa, kwanini gwajima asifungiwe yeye kama yeye kuhubiri badala yake lifungwe kanisa, sijawahi ona mkuu wa mkoa amezingua ofisi zake zikafungwa, yeye ndo anafukuzwa, hii ni vita dhidi ya ukristo.
@JamiiForums Nakumbuka maneno hayo Dr. Kimei alisema 2018, mbele ya JPM siku ya uzinduzi wa Hilo tawi, na chato huduma za crdb zilikuwepo ni vile hapo mwanzo kulikua na kaofisi kadogo(mini service center) maana bank haikuona haja ya kufungua tawi kubwa kwakua uchumi wa chato ni mdogo sana.
@Wakazi Mzee unajifanyaga smart kumbe box tupu, awapekekee vipi usalama na polisi wakati press yake ya kwanza kaongea kabisa ana uhakika wakuu wa usalama wanajua kabisa lakini Wana hofu ya utenguzi au kushughulikiwa kabisa, anachofanya ni kuwapa watu awareness. Muda mwingine kaa kimya
@swahilitimes Watanzania wametekwa, wameuawa, wamepewa kesi za kihuni hawa wapumbavu tunaita viongozi wapo kimya, leo abdul katolewa mfano tu wa kutolewa macho kila mtu ana haha, je angetolewa macho kweli si wangeleta vifaru barabarani.
@JamiiForums Huyu mpumbavu kasoka form 4 miaka 15 kutafuta C 3 alafu anatuita wenye akili zetu kenge. Niliwahi waambia mbogamboga chama cha wajinga ona sasa huyu mpumbavu alivyo na confidence ya kuwasema wenye akili. Elimu ya kuunga unga, bila shaka viti maalum aliliwa kupata cheo
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Imebidi niingize acc 01500005DPY00 kwenye sim banking nijiridhishe 😁😁😁. CCM kutwa nzima wanakandia tone tone ya CDM kumbe wivu tu, wao ndo wamefungua mpaka ACC, eti chama tawala wanaombaomba 😁😁😁😁. CCM wamechoka, wanachangisha watu afu wanaiba kura
@eastafricatv Huu upuuzi ndio unatifanyaga hata tunaoipenda simba tuiombee ifungwe tu, haiwezekani mashabiki tuipambanie team kwa kununua jezi, ticket na kushangilia alafu team ishinde wanasiasa wasifiwe kwasababu ya goli la milion 10 au ndege ya kodi zetu