Mwanzoni niliamini kuwa na hizi ndevu wanaume watakuwa wananiona kama Mwenzao ila huwezi amini wananitongoza sana hivi hivi na hapo ndo huwa siwaelewi wanaume.
🗣️Huyu dada alipo kuwa akiongea na mama chanja.
Ila wanaume nyie mna mbingu yenu aisee huyu si anaonekana ni mwamba kabisa?
WANAUME ACHENI HIZI TABIA MARA MOJA😡‼️⚠️🚮
Nilikutana na huyu baba ni mtu mzima nadhan kwenye 40+ posta kwenye ofisi moja ivi, tukabadilishana no za sm na kuanza kuwasiliana, akawa amenitongoza nikamkubalia, aka suggest tuonane nikaomba iwe open space kwanza, nika suggest na hotel twende dinner, tumeenda jana hotel moja maarufu, alinifata home, ametaka kunikis nikakwepa, tumefika pale parking akataka nikiss tena nikamwambia its too early, tukaingia akanishika mkono nilikuwa naona aibu ni mtu mzima sana, saa ngap asizungushe mkono kiunoni nikamtoa nikaona kanuna, basi tumeagiza msosi tumekula akaingia washroom hakurud kaniachia bill 158k nampigia hii bill nitalipaje?
Akasema ni mapema pia mimi kula pesa yake? Nilikuwa na ki akiba nikalipia but nimeumia sana Nadhan wanaume wafundishwe namna ya kuwa real gentlemen, kumfanyia mtoto wa kike kitendo kama kile ni utoto na ushamba
Kuna vitu ukiviona mpaka unashindwa kuelewa vilitengenezwa Kwa kazi gani? Au vina saidia nini.
Nimeshangaa kuviona vina uzwa maduka mengi hapa hapa Tanzania.
Eti hivi vitu vina gani?
Sahivi Wanaume wameanza kuogopa kukaa na wake zao , sababu ni kuogopa kuuawa kwa sumu.
Je ulishawahi kuskia maeneo ambayo wanawake wanawekea sumu au kuua waume zao sababu ya mali?
EMBU TUSANIANE TUSIJE TUKA UAWA ,TUPIA ENEO KWA KOMENTI,
TISANUE WANA.
Umasikini wa #wananchi, uliotengenezwa kwa makusudi kabisa na sisiemu, hili sasa ndo zao lake. Wanaenda pale kama misukule kupata chochote kitu siku iende, huku wakishirikishwa kiaina kumsafisha #SamiaMuuaji. Ndugu zangu, #imetosha 🫵#SamiaMustGo#CCMmustGo