🚦 Kuwa peke yako hadi utakapothaminiwa.
Hapa kuna Mambo 12 ya kuzingatia ili kuboresha Saikologia yako au namna unavyo fikiri .
Unafahamu kwamba maisha yana furaha zaidi unapokuwa hutafuti kuwa maarufu kwa kiki za mtandaoni
#asante#zanzibar#arusha#dar
🚦2005 Apple wakazindua Mac Mini yenye uwezo mkubwa wa 👇
M2 Pro yenye 12‑core CPU, 19‑core GPU, and 16‑core Neural Engine
32GB unified memory · 1TB, 2TB, 4TB, or 8TB SSD · 10Gb
#macmini#Mac#imac#macintosh#Apple
🚦Mwaka 2000 kampuni ya Apple ilitambulisha bidhaa mpya sokoni
Power Mac G4 Cube ilikuwa na uwezo mkubwa
Wa: 450MHz G4 processor, 20GB Hard drive, 56 kbps modem, 64MB RAM na Apple Pro Mouse kwa $1799
#apple#PowerMac#imac#macintosh