Wanalazimisha sana, wanatumia nguvu kubwa mno kuifanya ionekane hii ni vita kati ya chadema na utawala!! Sio Kweli!!
Chadema wala hahusiki katika hili, alikaa zake pembeni!!
Hii ni vita Kati ya wananchi na utawala!!!
Hata hao mnaowataja kuwa ni wahamasishaji hakuna hata mwenye kadi ya uanachama wa chadema!!
Hii ni wananchi vs serikali!!
Wasanii hamchukiwi kwakuwa mko CCM,
wala hakuna anayewaambia muwe Chadema!!
Mnachukiwa kwasababu hamsimami na issues za raia!!
Hampazi sauti kwenye changamoto zao!!
Hao brothers hapo juu ni waCCM
Lakini umma uliwapenda!! Why!!?
Its okay kuwa CCM, lakini kemea unapoona haki haitendeki!!
Simple tu mbona!!
Nina maswali,
Kigezo cha Kuteua Viti Maalumu ni kipi?
Na kwanini tunatakiwa kuwa na Wabunge wa Viti Maalum wengi hivyo?
Na wao wanapata same treatments kama wa kuchaguliwa?
Can’t we avoid this since deep down hela inaenda nyingi for nothing?
SECOND LIBERATION 🇹🇿
Gen Z 🇹🇿 have decided that December 9 is their next day of protest
The significance is that in 1961 on this Day is when TANGANYIKA got independence
Mark this - Tanganyika! Where the massacre occured on October 29 to date!
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanganyika 🙏🏽
Wapendwa TUMESHASHINDA ila pepo chafu la kupenda damu zetu limeng’ang’ania na makucha lakini limeshaondolewa kiroho- last kicks of a dying horse
Kizazi cha Gen Z ndo kizazi cha Ukombozi wa pili
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
‼️WAY FORWARD‼️
Nimewasikia! Nimepokea mapendekezo yenu!
Naweka poll kadhaa naanza na hii
Kwa kuzingatia dhamira ya mafehduli kutuua, kutunyamazisha na kututia hofu, je nini kifuate? Tufanye nini?
(hii poll ya masaa 6 tu alafu poll nyingine inakuja)