KAMA UNAJUA WEWE NI MPENDA HAKI NA UPANDE WA UKOMBOZI WA TAIFA HILI.
CHANGIA KIASI CHOCHOTE
LENGO KUFANIKISHA KIKAO CHA BARAZA KUU CHADEMA TAIFA.
NA NJIA ZAKO ZIKAFANIKIWE 🙏🙏🙏
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
Kwa heshima na taadhima tunaomba Heche atoe namba zake za simu tumtumie pole ya kufiwa na dreva wake ,hizo Hela hazitahusu ndugu wa wafiwa Wala chadema.maana Kuna watu Wana midomo kama chuchungi,
@Gervasmgaya3@Innocen89950594 Dahh aisee pole me kutapika sijawahi ila kichefuchefu kinanisumbua sana hebu naomba unipe abc na mm nifuate masharti aisee hap naishi kwa kumeza cimetidine na omeprazole
@Gervasmgaya3@Innocen89950594 Aisee mkuu pole hebu niambie uliwahi kuwa unapata kichefuchefu maana mm niko nayo pia sema napata kichefuchefu sana aisee