@fumbokhanJr Mbona kila mtu anatoa taarifa yake π huku wanasema mabaunsa wa Simba walidai funguo kabla ya mda na kuwafungia wahudumu wa uwanja polisi wakaja kuwaokoa hawa wanasema mkuu wa mkoa kaja na polisi wenye bunduki wanalazimisha kuingia uwanjani tuwaelewe akina sasa ππ
@fumbokhanJr Kabla ya kupost ilibidi kwanza ujue tofauti ya kudhamini (sponsorship) na kumiliki (ownership), ishu ya timu za ulaya ni timu mbili au zaidi zilizo chini ya mmiliki mmoja haziwezi kushiriki kwa pamoja on the same tournament. Njoo kwa GSM na HAIER hawiliki timu bali ni sponsors tu