Business builder and professional health's consultant.
Founder of Cashfedha Enterprises.
Food Packaging & Agribusiness.
God Fearing Child 🙏
I am a networker.
"Katika safari ya Maisha yako usiache kupanda yaliyo mema katika maisha ya watu wengine, Na unapopanda kwa watu wengine usitegemee kuvuna kutoka kwao, kwa maana Biblia imesema Utavuna ULICHOPANDA na sio ULIPOPANDA.."
Nimekaa nikakumbuka this year I decided to pour money on farming ����🤣makosaaaaa! I thought coz I aced kuweka kuku naweza lima 😭😭kumbe kulimwa tu ndio possible,nikachukua 5 acres Narok and mbio nikalima na kumwaga carrots seedlings 🌱 a week later God aka decide it’s time
Juzi tulikuwa mitaa ya O’bay tunapiga chai kidogo na marafiki. Ikaja mada ya ushindani kwenye biashara, kwenye soko kubwa kama Dar Es Salaam. Tena kwenye Sekta ya burudani. Nikawaambia kuhusu John Nash na Game theory, na inavyoweza kusaidia biashara zao, wakafurahi sana kujifunza namna inavyoweza kuwa practical.
Wakati nasoma moja ya Masters zangu nilichukua additional courses za Strategy & Security, Decision making under uncertainty na The psychology of games and decisions. Zilikuwa kozi ngumu sana, zenye hesabu na theories ngumu ngumu sana based on complex algorithms and assumptions.
Moja ya theory iliyonisumbua kuelewa na niliyoipenda sana ilikuwa “Game theory” ya John Nash. Acha leo nikumegee kidogo.
Msingi wa Game Theory ya John Nash ni kuelewa jinsi watu au taasisi wanavyofanya maamuzi kwa kutegemea matendo ya au hatua wanazochukua wengine.
Nash Equilibrium ni hali ambayo kila mshiriki amechagua mkakati bora kwake, na hakuna mwenye motisha ya kubadilisha mkakati wake. Theory hii imeleta mapinduzi katika uchumi, siasa, na hata biolojia, kwa kuchanganua jinsi watu ‘wanavyoshirikiana’ au ‘kushindana’ katika mazingira tofauti.
Kwenye theory hii kuna msingi mmoja muhimu ujulikanao kama ‘Nash Equilibrium’ (ama kwa Tafsiri sisisi, ‘Usawa wa Nash’).
Nash equilibrium hutokea pale ambapo kila mshiriki kwenye mchezo (player in a game) huchagua mkakati bora zaidi kwake, kwa kuzingatia mikakati ya washiriki wengine.
Kwenye Nash Equilibirum, hakuna player ana motisha ya kubadili mkakati wake kwa sababu ya hofu ya kwamba, kubadilisha mkakati wake kunaweza kusababisha matokeo mabaya zaidi kwake mwenyewe. Mfano: kwenye biashara kila kampuni huweka bei ya bidhaa zake kulingana na bei za mshindani wake. Iwepo kila kampuni haina sababu ya kubadilisha bei zake, maana yake hapo wanakuwa kwenye Nash Equilibrium.
Mfano maarufu na rahisi zaidi wa Nash Equilibrium hujulikana kama ‘Prisoner’s Dilemma.’ Pengine huu mfano utawafanya hadi wenye vichwa vizito kuelewa. 😆
Katika Prisoner’s Dilemma, washiriki wawili wanakamatwa kwa uhalifu na wana nafasi mbili:
1.Kusalitiana, ama
2.Kukaa kimya.
Matokeo ya uchaguzi wao ni matatu:
Mosi, wote wakikaa kimya: Adhabu ndogo kwa wote.
Mbili, mmoja akisaliti na mwingine akae kimya: Msaliti anaachiwa, mwingine anapata adhabu kubwa.
Tatu, wote wakisalitiana: Adhabu kubwa kwa wote.
Kwa kuwa binadamu naturally ni kiumbe selfish sana, tukija kwenye Nash Equilibrium; kila mfungwa huchagua kusalitiana kwa sababu hilo ndilo suluhisho salama, hata kama ingewezekana kupata adhabu ndogo zaidi kwa kushirikiana (kukaa kimya). Binadamu atamsaliti tu mwenzake. Hii inaonesha jinsi watu binafsi hufanya maamuzi ya faida binafsi badala ya ushirikiano wa pamoja.
Ukijua theory kama hizi unakuwa unamjua vizuri binadamu na unakuwa na busara za kufanya maamuzi sahihi kwenye maisha yako ya kila siku, lakini unapata kuelewa wengine kwa nini wanafanya maamuzi kadri wanavyofanya.
#HK #Fighter #NjeYaBox
Jinsi Supermarkets Zinavyokufanya Utumie Pesa Zaidi bila wewe Kujua🛒
Hizi ni mbinu Kutoka kwa Manguli wa Biashara Duniani...
⚠️DISCLAIMER
Huu uzi ni kwa ajili ya Elimu tu Na si Lengo Lingine..
Like & repost Wapate wengi..
Kisha Dondoka nayo..
When I was a kid, my uncle had a strange way of teaching us lessons.
One day, he looked at me and said, “Go bring me a chicken from the neighbor’s farm, or I’ll make you regret it!”
I was scared and confused, but I didn’t want to upset him. So, I ran off to the neighbor’s house.
THAMANI YA DOLA NA UHABA WAKE KUGEUKA GHAFLA NA IKAWA NI SHILINGI YA TANZANIA INAYOPANDA THAMANI. KULIKONI? Tatizo la kuyumbayumba kwa sarafu katika mfumo wa soko huria ni jambo lisiloepukika lakini si kwa kasi kubwa inayoendelea.
Benki Kuu ina jukumu na mbinu za kuingilia kuthibiti hali hii kuepusha athari zake kiuchumi , kibiashara na kulinda ajira. Benki Kuu hukabiliana na tatizo kwa kuongeza upatikanaji wa sarafu inayopungua katika mabenki ya biashara ili kutunza uimara na utulivu wa sarafu yetu.
Katika nchi inayoendelea kama Tanzania na inategemea biashara ya nje (exports) athari za thamani ya sarafu yake kupanda na kuwa na nguvu dhidi ya dola ni kupunguza ushindani wetu kuuza bidhaa nje kwani wanunuzi wataona ni aghari na kwenda kununua kwingineko. Mazao yetu ya kuuza nje yaweza kukosa masoko na bei za wakulima kushuka na pia watalii kupungua. Viwanda vyetu vyaweza kushindwa kushindana na bidhaa zitakazoingizwa kwa wingi kutoka nje hivo kuua uzalishaji wetu na ajira. Ukuaji wa uchumi utapungua kutokana na ukosefu wa mzunguko mzuri wa fedha. Mahala pa kuanzia ni kwa Benki kuu kupunguza riba ili kuongeza fedha katika mzunguko kwenye benki za biashara. Riba za tarakimu mbili hazijakaa sawa. Zinaathiri uchumi. Tumezizoea lakini si sawa.
@imdior01@YourFrenchFry@StevenLema96 Umeambiwa "Acha utaratibu utakaofuatwa kwa maandishi Kipindi usipokuwepo" , sio story za Mdomoni" Coco anaweza sepa denge akaoa mke mwingine... Mke mwingine akajimilikisha kilakitu watoto wa Coco wakabaki mtaani