@fbuyobe Nikiwa nakula bia zangu Tena nimekaa kaunta pale, mara ikaja task force fulani hivi majira ya SAA nne wamevaa kiraia(plain clothes) sura hazieleweki wakaamuru watu wa bar Ile wote walale chini basi bwana watu wakalala Mimi Niko kaunta nikawa naendelea kula beer kwa kujiamini
@YusuphMbilinyi8 Hello Mr. Tunyi mzee wa mashoto, may you try using the CDR (Call Data Records) to trace his last conversations. This could provide patterns, leads, tips, and theories that will help envisage the next steps in the investigation.
@tanpol Nashauri kwenye recruitments zenu za ajira muongeze suala la umri Kama walivyofanya JWTZ muweke mpaka miaka 35. Kuna watu wako mitaani lakini ni smart sana mnapowekaga mwisho Miaka 30 mnawakosesha nafasi, age is just a number tuko kwenye ulimwengu wa teknolojia.
@mrishogambo Kwahiyo kwenye vikao vya halmashauri huwa hauendi kwa kazi kama hizi au siyo? Mnaobisha hizo mbao siyo kivuko anachosemea mnajua kutafsiri picha kweli?? Huoni kila picha wamesimama mbele ya hizo mbao. Huyu jamaa ana matatizo sana๐๐๐๐๐.
@SharonMontana20@Dr_DGwajima Yani wewe mishy umekosa adabu kweli hata Kama kukosoa ndiyo useme kwamba maneno ya mheshimiwa hayana uzito wa kiakili aisiiiiiiiiiiiiiiiii. Umeniboa Sana kwani ungetumia lugha nyepesi kufikisha ujumbe ungepungukiwa nini? Siku hizi wasomi wengi ndiyo wajinga Kama wewe mishy