Nimeiona ile habari ya yule mama wa Arusha ambaye nyumba yake inataka kuuzwa kwa sababu alimdhamini mtu then jamaa akapotea , then, nimeona nitoe Darasa kuhusu hilo...leo hii mtu akikuomba umdhamini hakikisha wewe ni Guarantor na sio Collateral provider(CP)., sivyo utalia.
@Allypapala@EmmanuelMa30199@zoetjesheeftX Acha uzwazwa na wewe akuna sheria ambayo binadamu hajausika.. ko Mungu alikuja akasema oeni wake wanne au mnajificha kwenye kivuli cha mtume... Mbona we hujaoa wake 700 kama Suleiman?
@mpenda_TANZANIA@EmmanuelMa30199@zoetjesheeftX Ata ww n mpuuzi pia... Acha kutukan Iman za watu jibu hoja... We umekaa upande huo unaona ni sahihi na mtu mwingine amekaa upande mwingine nae Yuko sahihi so usitumie vibaya sim yako kutukana imani za watu, tumia akili sio hisia
Umasikini unadhalilisha sana, Umasikini unaua ndoto za watu, Umasikini ni mzigo, Umasikini unatesa watu, Umasikini unazika matumaini ya watu.
Tumuombe sana Mungu atufanyie wepesi kuukata mnyororo wa umasikini.
Good morning hustlers ๐๐พ