Ujumbe kutoka gerezani Ukonga wa Mh. Tundu Lissu
21/11/2025
Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!!
Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!!
Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Vyombo vya Haki Jinai Mwaka 2023. Matokeo yake? Sifuri!!
Sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mauaji Makubwa katika historia ya nchi yetu yote. Tutegemee matokeo gani? Sifuri!!
Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji!
Hakuna Amani bila Haki.
TAL, Ukonga Central Prison.
-Admin.
@daddyhope I understand the message, but this video might have been wrongly used. This is a garage near my home (Kimara Baruti) and not a port. Cars in the video were there for repairs,there was a mechanic who had rented the area from CCM offices.
Nothing like this happened at the port.
COMMENT #NIKOTAYARI KAMA UKO TAYARI 📺 OFFICIAL MUSIC VIDEO OUT ON YOUTUBE NOW LINK ON BIO. DO THE RIGHT THING
🎥 Dir. By @izzybree_
S/o to @the_kemet_tz and @damiansoulmusic for this masterpiece 💎💯
#HABARI Wanafunzi wa shule nne zilizo katika kata ya Majohe iliyopo wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, wameomba kujengewa Daraja baada ya maji ya mto Nyamalonda kuondoa kivuko cha minazi kilichojengwa na wananchi na kupelekea mtu mmoja kufariki kwa kusombwa na Maji na kusababisha wanafunzi kushindwa kwenda shuleni.
Wakiongea na EATV wanafunzi wanaosoma shule nne ambazo mbili za msingi na mbili za sekondari zilizo katika mtaa wa Vigewe pamoja na Zavara wanasema inaponyesha mvua wanaogopa kupita kwa kuhofia kupoteza uhai wao.
#EastAfricaTv