Takribani watu 22 wameuawa baada ya watu wenye silaha kulifyatulia risasi kundi la watalii wa ndani waliokuwa wakitembelea sehemu maarufu ya kuvutia huko Kashmir, jimbo linalotawaliwa na India.
@chino_kidd7 ametamba kuwa yeye ni mkali wa live performance na kama ikitokea anaua vibaya, akitolea mfano Glitch aliyopiga Nigeria inavyosumbua ikiwa na views, likes na comments nyingi kutoka kwa mashabiki zake
#cawabemediaentertainment
@chino_kidd7 amemkingia kifua brother wake @marioo_tz kutokana na kile kinachisemekana show ya #Trace aliaribu
Chinno amesema "inatokeaga muda mwingine kazini, sio kwamba Marioo sio mkali wa live performance huenda siku ilikuwa mbaya kazini".
#cawabemediaentertainment
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana Ikulu ya Marekani kitendo ambacho Trump anaamini Zelensky ana dharau
Shabiki maarufu na kindaki ndaki wa Simba @doctormohamedihamisi amepigwa na butwaa baada ya kugeuka nyuma na kukuta begi lake halipo katika akifanya mahojiano na kati ya media moja huko Arusha
#cawabemediasportsupdates
Wasanii @juma_jux na @officialnandy wakitoa tathmini yao kuhusiana na tuzo walizopata kutoka #Trace wakisema hizi tuzo sio kwa ajili yao peke yao bali ni kwa taifa zima la Tanzania
#cawabemediaentertainment
Mwanamuziki @hamadaitz_ usiku wa jana alikuwa na show yake pamoja na Wanachuo, kwenye usiku huo Hamadai pamoja na kundi lake la The Mafik alikutana na @zee_cuty wa mchongo na kumkosha Hamadai.
#cawabemediaentertainment
Yanga Africa kwa sasa wamekuwa bora kuliko mwanzo, wanakabia juu wanafanya wapinzania wanafanya makosa, wanashambulia kwa mifumo tofauti wameimarika sana- @zuberi_mkalaboko
Sisi kama wachezaji wageni inapotokea mechi za dabi kama hizi huwa tunatumia muda mwingi kuwaelekeza wachezaji wageni mazingira ya mechi kama hizi- @sajoh_57