Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa
Dodoma, Mei 29, 2025
Mapema leo wajumbe 1,907 tumekutana jijini Dodoma ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano wetu. Katika kuendelea kuimarisha chama chetu, tumejadili na kupitisha maboresho ya Katiba ya Chama ili kuendana na mazingira ya kisiasa na mabadiliko ya kiteknolojia. Pia, tumepitia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025, ambapo tumeridhika na kazi kubwa iliyofanyika, na inayoendelea kufanyika kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo ya Taifa.
Nimewahakikishia wajumbe wenzangu kuwa Ilani ya Uchaguzi (2025-2030) tutakayoizindua kesho imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa kuwashirikisha wananchi wenyewe, ambao ndiyo wenye chama, asasi za kiraia, taasisi za elimu ya juu na wadau kutoka makundi mbalimbali ya kijamii. Sambamba na hilo, Ilani pia imeandaliwa kwa kuzingatia Mpango wa Maendeleo ya Taifa.
Chama ni wanachama. Nimefarijika kuona tumepiga hatua kubwa ya kusajili wanachama wapya na sasa tumefikia 13,000,670 katika mfumo wa kielektroniki.
@ChuoChallenge The College Business Education (CBE) Mwanza campus has successfully participated in the College Challenge Cup competition held at Nyamagana Stadium. CBE competed against the Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) and emerged victorious in all the sports played
COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION MWANZA CAMPUS
CBESO GENERAL ELECTION 2024-2025
The Dean of Students Mr. Justine Urio cordially invites all students to participate in the election, as all necessary arrangements have been completed
COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION MWANZA CAMPUS
CBESO GENERAL ELECTION 2024-2025
The Dean of Students Mr. Justine Urio cordially invites all students to participate in the election, as all necessary arrangements have been completed
Bodi Ya Ununuzi Na Ugavi Yaendesha Mafunzo Ya Huduma Zake Kwa Wanafunzi Wa Chuo Cha Elimu Ya Biashara.Katika Mafunzo Hayo Mkurugenzi Wa PSPTB Bw. Goefrey Mbanyi Amewahasa Wanafunzi Kuwa Na Maadili Mema Katika Tasinia Ya Manunuzi.
Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Akitoa zawadi kwa Wanafunzi wa CBE Kampasi ya Mwanza Leo katika Semina Ilioendeshwa na Bodi ya Ununuzinna Ugavi
DIRISHA LA MARCH INTAKE 2024-2025 LIKO WAZI
KOZI ZA SHAHADA YA UZAMILI (MASTERS) ZIPO MBILI
1: MASTER OF PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT (MPSCM)
2: MASTER OF BUSINESS ADMINISTRATION IN MARKETING MANAGEMENT
https://t.co/vrnAuNtHwS