TANZIA
Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Iramba tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa juu ya taarifa ya ajali ya vijana wanne wanamichezo wakazi wa Ulemo waliopoteza maisha kwa ajali ya pikipiki.Tunatoa pole kwa familia na wananchi wote wa Kitukutu kwa msiba huu
Karibu sana Iramba Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu CCM ,
Viongozi, wanachama na Makada wa chama cha mapinduzi tunakukaribisha Ndg Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi , KARIBU SANA
#Irambankulu#Karibukukole
KARIBU MKOA WA SINGIDA NDG DANIEL CHONGOLO KATIBU MKUU CCM ,
Viongozi, wanachama na Makada wa chama cha mapinduzi tunakukaribisha Ndg Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi @ccm_tanzania
MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba Mkoani Singida kitafanya Maadhimisho ya Miaka 46 ya kuzaliwa CCM.Sherehe hizo zitafanyika Kata ya Mtekente kijiji cha Ujungu,Mgeni Rasmi Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1
MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA KUZALIWA CCM WILAYA YA IRAMBA
Kila mwana CCM ahakikishe anasimamia miradi katika eneo lake,endapo Kuna mtu anahujumu tafadhali toa taarifa ofisi za kata,Wilaya na hata ofisini kwangu karibuni sana .
Leo January 7 Kumbukizi ya kuzaliwa Kiongozi Mzalendo,Mbunifu na mchapakazi Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1
Happy birthday to you!
HAPPY BIRTHDAY Cde. MWIGULU
Dr. @mwigulunchemba1 Hongera Kwa kuongeza mwaka mwingine leo Allah akujalie maisha marefu yenye kheri na Baraka tele, Akukinge na kila aina ya Shari,fitna na husda zaviumbe wabaya,Tunakutakia kila lenye kheri Kwa maslahi ya nchi yetu
My best wishes for the new year 2023. Hopefully, the year ahead brings you success and prosperity.
I wish you a prosperous new year filled with new opportunites.
HAPPY NEW YEAR 2023
Akina Mama mshike Baba,Mtoto Mwambie tarehe 23 Agosti 2022 Kuna zoezi la Sensa ya watu na makazi Wajitokeze kwa wingi kuhesabiwa.
Idd Mohamed Kijamba Katibu wa jumuiya ya wazazi Iramba-Kizaga sekondari
#SeminayakumwinuamwanamkeKisaikolojia
Umetimia mwaka mmoja tangu kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Magufuli. Namshukuru Mwenyezi Mungu nchi yetu ipo imara na kazi inaendelea. Tuendelee kumuenzi kwa kuyaishi mema aliyoyatenda kwa nchi yetu na tumuombee aendelee kupumzika kwa amani.
Kumbukizi ya Mwaka Mmoja wa Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Daima; Tutakukumbuka, endelea kupumzika kwa Amani.
Zaidi ya Bil. 80 zimetengwa kwa ajili ya kujenga barabara yenye urefu wa Km78 kwa kiwango cha lami kutoka Kizaga-Ndago-Sepuka
DC Mwenda Maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa CCM Iramba Kata ya Kidaru