Leo tunasherekea siku ya CCM-URUSI @ccmrussia ambapo kwa nafasi mchana tutakuwa na kikao cha Tawi na jioni tumeendaa semina ya Uongozi Cde @jokateM ,Fakii Raphael Lulandala na Mohammed Mansour watashiriki nasi kutuma Chakula cha Ubungo kupitia Googlemeeting

Salamu za kumtakia kheri ya mfanano wa siku kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa @uvccm_tz Mhe Mohammed Ali Kawaida @ComradeKawaida kutoka Urusi, Moscow.
Tunakutakia kheri ya kuishi miaka mingi, Utendaji bora na uwakilishi bora wa vijana Tanzania.
Africa Day by @GlobalFund Nichukue Fursa hii kuwashukuru waandaji kwani sherehe ilifana sana na kikubwa waafrika wengi tulikutana na kujuana. Furaha ya kukutana na mdogo wangu Dr. Diana Faini anayefanya kazi WHO GE na Rafiki aliyevaa kiafrika zaidi๐ #utamaduni#Africa
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi *Ndg MOHAMED ALI KAWAIDA (MCC)* Akikimbia na wakimbiza Mwenge wa uhuru Kitaifa ndani ya mkoa wa kusini Ungunja.
Mwenge wa uhuru ni Moja Tunu ya taifa ambapo jukumu la kulinda mwenge wa uhuru ni jukumu la vijana wa kiTz
UWT-URUSI, inawashukuru viongozi wa UWT Taifaakiwemo Mhe. Mary Chatanda, Ktb.Mkuu Dkt Philis Nyimbi,Mhe.Subira Mgalu,Mhe. Hawa Ghasia & Mhe. Neema Lugangira kwa kuifanikisha Semina ya UWT Taifa & Wanawake Diaspora . April 15.04.2023โ .
#HongereniSanaUWTJESHILAMAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu.
Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa @SuluhuSamia katika Mkutano wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwaajili ya KongoDRC na Ukanda wa Maziwa Makuu unaofanyika nchini Burundi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @dr_mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi Mheshimiwa Prosper Banzombaza leo tarehe 06 Mei 2023.