OMG!! ππππ hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
@MabalaMakengeza Nafkr hili ni tatizo linaloikumba dunia nzima kuna nchi zina demokrasia lkn hadi zimeweka sheria ya kupiga kura usipopiga unalo!!ni kawaida kW kua wanaofanya hivyo ni wanadamu ,,
@YerickoNyerere Huna habari timu ya taifa ya magongo imefuzu kucheza kombe la dunia la mchezo huo?!!!,,mbn hukutangaza na kua proud,,simbu aliposhinda nn kilikuwepo?!,,Kenya hawana kina jaguar,mke aliyeua mume mzungu,?!au hayo mamb n sawa,,"kila jambo na wkt wake"