Reginald Mengi kwenye kitabu chake I CAN, I MUST, I WILL
aliandika
Fisadi Papa, hana kiwanda, hana biashara ila ana ofisi Posta, ana simu ya mawasiliano ya Ikulu, anamiliki Gazeti la kumsifia, anamiliki wabunge na Mawaziri wa kumtetea na anashinda Zabuni.
That is Mengi RIP
Tunawauliza TotalEnergies na wabia wake: mtapima vipi mafanikio ya fidia mwaka 2030 na baadaye? Ni kaya ngapi zitakuwa na maisha bora kuliko kabla ya mradi? Weka malengo yanayopimika hadharani, na mkubali kuwajibishwa iwapo malengo hayo hayatafikiwa kwa wakati. #EACOPniTISHIO
Kwa nini linapokuja suala la miundombi huwa ni rahisi sana kwa watawala kujenga hoja kuwa “nchi haina uwezo wa kutatua changamoto zote kwa wakati mmoja” lakini ikifika kwenye kununuliana mavi8 na kulipana mabilioni ya posho hatusikii hoja hizi?🤔🤔🤔🤔
Umaskini wa nchi huwa unakumbukwa kwenye moundombinu tu?🤔🤔🤔🤔🤔
Eti huyu ni mbunge!!! Ukisema huyu ana akili ya ng’ombe utakua umekosea wapi?
Yaani hajui kwamba bila katiba hakuna bunge na kama hakuna bunge hakuna ubunge?
Yaani tukiwa na Nchi ambayo haina Katiba si kila eneo litakua na utaratibu wake wa kujiongoza.
Miaka 65 ya uhuru bado mtoto wa Tanzania anasubiri wahisani wamjengee tundu la choo shuleni.
Halafu kesho Palamagamba Kabudi anapaki gari ya million 500 nje ya hii shule na kuwaambia wazazi wa hawa watoto “msimwite Rais HARAMU; ni neno baya.”
Sio ajabu anayetoa vitisho hivi hana uhakika wa kula mlo kamili. Kimaskini kimoja kinatumiwa kutisha maskini wengine huku kikidhani nacho kimekuwa kibwanyenye.
Upumbavu na ulofa mtupu!!
Wakati MWenyekiti Mbowe amekamatwa propaganda ilianzishwa na wakina Duni Haji kwamba Lissu aliekua nje ya Nchi ndio anasababisha MWenyekiti Mbowe ashikiliwe kwa manufaa yake ya kisiasa.
Listen, comrades: hakuna baya lililofanywa hapa duniani ambalo litafichwa milele. Mauwaji, utekaji, ufiraji, kupoteza watu, na zaidi, vimefanywa na watu; vimeshuhudiwa na watu. Mambo haya yote yatafichuliwa. Muhubiri anasema KILA JAMBO NA WAKATI WAKE. Mungu ibariki TZ.
"Mimi sikujua kama kweli palikuwa na uchaguzi kwa sababu hiyo siku ya uchaguzi nilikuwepo hapa nchini. Sikuwa nimejiandikisha kupiga kura. Lakini watu walikuwa wanatoka nyumbani kwangu wanataka kwenda kwenye uchaguzi. Hawakufika popote pakawa na vurugu." - Dkt Helen Kijo-Bisimba